Dawa za Kulievia zinateketezwa wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa za Kulievia zinateketezwa wapi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Prime Dynamics, Jan 12, 2011.

 1. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Jamani naomba kuuliza madawa ya kulevia yakikamatwa yaonyeshwa kwenye vyomba vya habari. Je mbona hawaonyeshi yakiteketezwa? ni bangi tu ndio inaonyeshwa ikiteketezwa mashambani. cocaine na heroin zikikamatwa airport zinapotelea wapi?
   
 2. czar

  czar JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uko mbali sana anza na Gongo huwa inaenda wapi? Ha haaa, wanakunywa, madawa jamaa wanauza usipime. Hushangai mapolisi baadhi wanamaisha ya juu sana. Watoto wanasoma UK,US nk.
   
 3. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tv Feki tunaona zinavyoteketezwa,
  Mashamba ya bangi tarime tunaona yanavyochomwa moto,
  Lakini madawa ya kulevya sijui huwa inakuwaje, bila shaka warehosue yao itakuwa na tani nyingi sana.
   
Loading...