Shilling ya tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shilling ya tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Wa Kwilondo, Jan 12, 2011.

 1. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Wadau naomba kujua kuhusu TShs kimataifa ni kuwa haina thamani au haijulikani? nimepita nchi nyingi kusini mwa Tanzania kwenye bureau de change,mabenk haionyeshwi exchange rate yake, even in black market haipo ukiacha mipakani kwetu. Na kwenye all international Tv in business news in exchange rate haipo zaidi ni Kshs & Ushs. Wadau Naomba elimu kuhusu hili. :usa::coffee:
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Simple! We produce nothing for export for anybody to need our currency to purchase our products, or if we are produce anything, we use US dollars!
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Currency rasmi ya nchi ya Tanzania ni US DOLLAR ndiyo maana wageni na wafanya biashara hawana haja ya kujua dhamani ya pesa yetu.
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hyo hela ya madafu kwa sasa ina-sound hapahapa,
   
 5. Ikimita

  Ikimita JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 302
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tunazalisha japo kwa kiwango kidogo ila bei na ubora wa bidhaa zetu hauwezi kushindana na masoko ya jirani zetu. Hata pale ambapo tumezalisha bidhaa bora na bei nafuu bado thamani ya pesa yetu sio ya kuaminika inabadilika sana tena kwa tofauti kubwa kubwa. Hizi tofauti za kuyumba kwa thamani shilingi zinaweza kumsababishia mfanya biashara wa nje kupoteza pesa zake (kama akiamua kununua pesa yetu huko nje alipo kabla ya kuja Tanzania). Kwa sababu atapokuja Tanzania atakuta thamani ya pesa yetu imebadilika (mara nyingi pesa yetu huwa inaporomoka) basi atajikuta akinunua bidhaa pungufu. Kwa wafanya biashara na watu wengine wa nje ambao ni makini watapenda kuja na pesa inayotunza thamani kama vile dola halafu abadilishe akiwa ndani. Kwa ufupi pesa yetu haijatulia.
   
Loading...