Wadau naomba kujua kuhusu TShs kimataifa ni kuwa haina thamani au haijulikani? nimepita nchi nyingi kusini mwa Tanzania kwenye bureau de change,mabenk haionyeshwi exchange rate yake, even in black...
Jamani nyie wataalam mnaejuajua mambo mbona mko kimya kuhusu pesa ambazo wananchi tumepoteza pesa kule deci,jamani deci mbona imefanya mbaya na hatuelezani kesi ilipofikia?hivi kwa sababu zipi...
KIWANDA cha sukari cha TPC kilichopo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, kimetoa Sh 659.5 milioni kama bonasi kwa wafanyakazi wake 1,722 ikiwa ni faida iliyopatikana kwa mwaka 2009/10.
Katika...
Sometimes mwaka jana Rev Kishoka alitoa mchoro wa nyumba anayotaka kujenga Bongo akaambiwa keshachakachua na ni fisadi.
I care less alikotoa pesa maana inawezekana huko nje alipata mkopo au...
Owners of up-country and commuter buses were yesterday given a one year ultimatum to reconstitute themselves into companies, cooperatives or institutions under which they will register to operate...
TTCL sasa kuuzwa Vietnam-TEWUTA
Na Mwandishi Wetu
CHAMA cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mawasiliano Tanzania (TEWUTA) kimesema serikali ina mpango wa 'kuiuza' tena Kampuni ya Simu...
Hivi hawa mgambo wa city wakichukua vitu vya wamachinga vinaishia wapi?
Na kwanini wachukue vitu.... Na sio watu?
Mara nyingi nimepita kariakoo naona mgambo wamebeba mali za watu mbalimbali na...
Wakuu kwa wale wanaofahamu naomba mnijulishe kiwanja cha kati ya heka moja na nusu na heka mbili maeneo ya Tegeta kinaweza kufikia bei gani????
Asanteni!
HI! WANAJAMII HILI TANGAZO LA KUUZA LAP TOPS ZANGU MWENYEWE:
LAPTOP 1 ALMOST STILL NEW
Niliinunua marekani mwaka 2009 December
HP
BLACK
RAM 3 GB
HDD: 240 GB
PROCESSOR: 2GHz
WINDOW XP
PRICE...
Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe
Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amegeuka mbogo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza eneo la Kivukoni jijini...
Ndugu zangu,
naamini wote mmefuatilia kwenye vyombo vya habari jinsi Dr. Magufuli na Dr. Harrison walivyoanza kazi jana Jumapili, siku moja tu baada ya kuapishwa. Katika magazeti ya leo, ujenzi...
Natumaini wote ni wazima mimi ni mjasirilia mali natafuta oven kwa ajili ya kutengeneza mikate(morogoro)nauliza wapi naweza kupata hizo oven kwa ajili ya kufungua mini-Bekary,yeyote anayefahamu...
Wana JF,
Naleta hii hoja kwenu, kwani tokea kampuni hii mya ya simu kuendeleza biasha ya Zantel ndio wametuchanganya zaidi kwanini nasema haya:
1: Wana offer yao ya bonyeza SMS 5 ili upate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.