Je uko tayari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je uko tayari?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Malila, Nov 15, 2010.

 1. M

  Malila JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  I have never met a rich person who has never lost money. But I have met a lot of poor peoplewho have never lost a dime ------investing,that is.

  By Rich/poor dady.

  Nilipofanya utafiti bubu nikaona ni kweli,wengi wa waliofikia mafanikio halali kifedha ni wale ambao walichukua maamuzi magumu ktk pilika pilika zao, ni wale waliokubali high risk wakiwa ktk track sahihi ya kuwekeza, na ambao hugeuza anguko lao kama nguvu za kusonga mbele kufikia malengo.

  Karibu tutafune hii maada muhimu kwetu walala hoi.
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  UK Special forces (SAS) wana usemi huu
  "Who Dares Wins"
  if u take calculated Risk,with no fear of loosing,after few failures and Trials success is guaranteed. kuna rich Dad/Poor Dad then Soma Kitabu chake cha The Four Quadrants by the same Author. ninaplan ya kufungua Kitaa Academy- street academy based on this Authors books.Tatizo bado sijakamilisha projects ambazo nataka nizitumie kama mfano hai ktk haya madarasa.kwa sasa bado nafanyia kazi elimu niliyoipata kutoka katika vitabu hivi.
   
 3. M

  Malila JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hivi vitabu vinasaidia sana, hicho cha Four quadrants sijakiona. Kuna fursa nyingi sana, kuna mmoja anasema, dhahabu iko kila mahali, tatizo watu hawajafundishwa namna ya kuitambua dhahabu iliyo ktk mazingira yake.

  Pale Bongo naweza pata wapi hicho kitabu cha Four Quadrants mkuu?
  Have a nice day.
   
 4. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi nilikwisha wahi kutuma hizo kwadrants hapa maalim. ngoja ntazirudisha. lakini na huyu mwenzetu anaetaka kufungua hicho Kitaa chake nadhani anahitaji msaada kuwa more efficiency yani ili kua shule more successful wanafunzi. lakini malila nataka usome ile kartasi halafu unambie kama unanielewa. labda naweza nikachangia kwenye jamvi visuli.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Malila, niko tayari na nimeanza muda kidogo kujaribu niliyochota kwenye baadhi ya visima vya entrepreneurs; challenges nizipatazo ni kama vile mambo ya taxation, business plans hazina nafasi sana katika banks zetu na honest partners

  sijakata tamaa na nasonga mbele, lakini kuchukua kama walivyofanya akina trump ni ngumu hapa kwetu kwani kila mtu kuanzia mtendaji, katibu, TRA, wilayani, benki, BRELA, sheli, posta, sokoni ni meandering tu
   
 6. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
   

  Attached Files:

 7. O

  Ogah JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Just ask Invisible awapakulie vitabu hivi hapa pia...........vina mambo muhimu sana ya kuzingatia

  The Richest Man In Babylon - George S. Clason
  Trump & Kiyosaki - Why We Want You To BeRich
  Robert Kiyosaki - CashFlow Quadrant
  Robert Kiyosaki - Retire Rich Retire Young
  Robert Kiyosaki - Freedom or Security
  Robert Kiyosaki - Rich Dad's Guide to Investing
   
 8. M

  Malila JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hiki pale mtaani dar nilikiona,kama vipo mitaani niambieni ni mitaa ipi nikavinunue, nitaacha kuchangia send off kama miezi miwili hivi ninunue hazina hii kwa ajili yangu na wanangu.
   
 9. Binti Mimi

  Binti Mimi New Member

  #9
  Nov 17, 2010
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna mahali nimepita kwenye blog moja hivi nimekutana na mtu ambae amedare to try nadhani amesoma hivi vitabu cz kitu alichoamua kufanya mm sikuwahi kufikiria lakini namuombea heri afanikiwe mtazame kwa blog inaitwa theblueboxtoday afu ni mbongo msichana
   
 10. M

  Malila JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Huyo ni jasiri na anastahili pongezi,ngoja na mimi nikamsome.
   
 11. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2010
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mkuu Malila, kitabu cha FOUR QUADRANT (by Kiyosaki) kinapatikana ile bookshop ya mlimani City bei yake ni 17,000/= , in fact siku ile tulipokutania pale nilikuwa hiyo bookshop.. huyu bwana Kiyosaki zaidi ya Rich Dad poor dad katunga hiyo four quandrant. pia how to invest.. ila kilichonimaliza kabisa ni IF YOU WANT TO BE RICH AND HAPPY DONT GO TO SCHOOL (Hiki sijakisoma chote)..

  jamani i Robert Kiyosaki books!!
   
 12. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #12
  Nov 17, 2010
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  malila.. The Richest Man In Babylon - George S. Clason pia kinapatikana Mlimani City bookshop... bei yake nadhani haizidi 20,000/=

  mimi kwa sasa nina library ya:
  -Trump & Kiyosaki - Why We Want You To BeRich (20,000)
  Robert Kiyosaki - CashFlow Quadrant (17,000)
  Napoleon Hill Think and Grow Rich (hiki nilikinunua 10,000 kwa machinga mmoja)
  Trump- Think Big


  pia nashauri nununueni CD titled "siri za Eric Shigongo" kwa kweli ni nzuri sana maana anaeleza how youo can be successful- bei si kubwa ni 5,000/= tu au kwa lugha nyingine ni chupa tatu za bia (kwa wanywao)

  mimi next move ni kununua na kusoma Robert Kiyosaki - Rich Dad's Guide to Investing na
  The Richest Man In Babylon - George S. Clason,. suala litakalolimebaki ni application ya hiyo knowledge.. nawaambia ndugu zangu ukisoma vitabu vya namna hii lazima utabadilika.
   
 13. M

  Malila JF-Expert Member

  #13
  Nov 17, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Nikitenga kama laki moja hivi desemba hii naweza kukamilisha kununua vyote, kwa hiyo ili nisiharibu mipango mingine kwa ajili ya hili.

  Asante sana mkuu. Leo nimepata bei ya bata mzinga. Nadhani tutawahitaji ktk siku chache za usoni.
   
 14. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #14
  Nov 19, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mkuu Malila
  hivi vitabu vinapatikana mlimani city or bookshop ya slip way au bookshop ya novel idea ipo pale steers samora opposite na british council.
  huyu dada wa the blue box,amejitahidi,ametumia simple blog technolgy kutengeneza e-duka,actually
   
 15. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #15
  Nov 19, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nitazumgumza na Mkurugenzi wa JF kuhusu hivi vitabu. kama kweli mnavielewa basi tuwasaidieni mfundishe watu. na kama hamueliwi vizuri mimi natakufundisha wewe halafu uwafundishe wengine. Tutavivungua vungua mpaka tuwe na uwezo wa kumwambia mtu wa kawaida akawa tajiri kutuzidi sisi, kama anadhani ndio furaha ya dunia. La muhimu tusiweke tamaa mbele. vile vitabu nadhani mtu anaweza akasema vimechangia katika shinikizo la mporomoko wa uchumi marekani kama hujui. Tusifanye Boom economy tena serikali inatakiwa irregulate haraka hii biashara ya real estate. na sina maana serikali ivamie biashara, la. Free enterprises should not be distrubed, yes i know. I dont know what counties every is for sure but we are kind of slow a just a little bit. thank you
   
 16. K

  King kingo JF-Expert Member

  #16
  Nov 19, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu pita Mlimani city pale kuna duka linauza vitabu na hivyo baadhi nilishawahi kuviona pale nadhani liko opp na Tigo au kabla hujafika NMB
   
 17. M

  Malila JF-Expert Member

  #17
  Nov 20, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Asante bro,
  Nitapita hapo nijipatie.
   
 18. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #18
  Nov 20, 2010
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Linaitwa Scolastica Bookshop, wana duka lingine Samora Avenue mita chache kabla hujafika mnara wa askari kama unatokea ppf house. Vitabu nadhani vyote vilivyotajwa hapo juu unaweza vipata hapo, mi nilishachukua hapo richdada/poor dad, na cashflow quadrant, bei si kubwa ukilinganisha na uzito wa ujumbe wenyewe kwny kitabu.
   
 19. M

  Malila JF-Expert Member

  #19
  Nov 20, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Jf bwana,
  full msaada kwa linalowezekana, asante mkuu.
   
 20. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #20
  Jan 23, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
Loading...