Nafasi ya ujasiliamali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya ujasiliamali

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Bob Nash, Feb 8, 2011.

 1. B

  Bob Nash Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndugu wakaka na wadada wa jf, kwa wale wanaotaka kufanya biashara ya stationeries za aina mbalimbali, kama uko mikoani au dar es salaam na unajua sehemu za kusupply aina mbalimbali za stationery na vitabu vya kwenye mashule primary na secondary, tuwasiliane, nna supply kwa bei za jumla na nafuu kabisa, usafiri kwa watu wa mikoani inaweza pangwa pia, nipigie kwa 0654633109, ikiwezakana ufike kwa ofisi kamata oppsite na shoprite kwa mazungumzo zaidi. hata kama hujui biashara lakini unajua sehemu ya kusupply, piga tu kwa mawasiliano zaidi.
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Asente sana,tafadhali nitumie price list ya bidhaa zako,if possible orgin of your products naweza kushiriki
   
 3. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nitakutafuta. Mkopo upo?
   
 4. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Asante kwa taarifa, nitakutafuta.
   
 5. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Naoba pia price list!!!
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkopo ukiwa na hati ya nyumba na mali isiyoamishika
   
 7. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  amepotea mbona hajibu?
   
Loading...