msaada wa mawazo wana JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa mawazo wana JF

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mchakachuaji192, Feb 7, 2011.

 1. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  wana JF habarini za majukum! Hope week inaanza vyema kwa wengi wetu, jamani natamani sana kuingia kwenye field ya biashara na sijui ni wapi nianzie mwenye mawazo naomba anisaidie sambamba na hilo kuna wazo ninalo nataka kuongea na hawa watu wanaohusika na construction works hasa ujenzi wa nyumba za kuishi mie ninataka kuwa designer wa setting ya jikoni ikiwa ni pamoja na ku-design, kuweka makabati na kila kitu kinachostahili kukaa jikoni, natanguliza shukrani zangu kwenu waungwana wa JF
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu...vitu viwili hapa

  je una background yeyote ya ku design kama vile architecture..? .. je utafungua kampuni ya ku design au ku fabricate ..... kitchen cabinets and in house fittings...?

  au unataka vyote viwili... tunaita design and fabricate... au supply and fix... ?
   
 3. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  mie napenda kuwa na vyote viwili mkuu ili nisipate shida ya ktk uendeshaji wa shughuli hiyo, pia hiyo shughuli natamani iwe ni kampuni inayojitosheleza kwa huduma zote zihusianazo na hayo uliosema

   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu.... lazima kwanza uwe na network na interior designers au inhouse designers wa fittings..... ili wakifanya designs mbali mbali za miradi ya customers wao basi wataku recommend wewe ufanye hizo kazi

  unahitaji kuwa na network na makandarasi wa majengo ili waweze kukupa sub contracts za kazi kama hizo

  kazi hizo ni general in the field ya finishings katika building construction.. zinahitaji umakini na ustadi wa hali ya juu... unahitaji mafundi maridadi sana especially carpentry na joinery... mafundi wa dry walls and bulkheads .., counter tops.., tiling and slabs.., cladding na uwe na mashine ndogo ndogo za finishing kama..., sanding machine.., circular saw.., drill machine.., bore hole machine.., tile cutter and many

  kazi hizi ni kama za office desks za receptions and cutomer cares.... kitchens...., bar counters and restaurants.... bank tellers counters.. frontages za hotels... wash rooms etc..... unahitaji kuanza kusoma magazeti na brochours nyingi za homes and home decors
   
Loading...