Isuzu bighon & Nissan X-trail | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Isuzu bighon & Nissan X-trail

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mlachake, Feb 1, 2011.

 1. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Wakuu wanajamvi waslam aleikum.
  Ninaomba msaada kwa mwanajamvi yeyote mwenye uzoefu wa hizi gari aina mbili anisaidie. Haswa haswa kwa Information kama.
  1. Ulaji wa mafuta
  2. Upatikanaji wa Spare.
  3. Durability
  .......
  .......
  .......
  ......
   
 2. T

  Twamae Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naamini kati ya haya magari mawili, Nissan X-Trail ndiyo iko mbele. Kwa magari kama haya, kama unao uwezo wa kununua one of them, suala la mafuta haliji sana kwani uwezo unao wa ku-fuel. Suala liko kwa upatikanaji wa spares na durability wa gari lenyewe which I believe X-Trail iko mbele.
   
 3. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Thanks alot!!
   
 4. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu usichukue yeyote, Bora kanunue Toyota Rav-4, X-Trail na Isuzu haziwezi kuhimili vishindo vya africa. Pia Spear za nissan hazikamatiki kwa bei.
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  x trail? anaendesha wapi...bongo?
   
 6. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nissan ni gari strong ingawa spare zake ghali. Hizo ndo preference zako au ndo options zilizopo tu?
   
 7. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nakushauri Nissan X trail. Si kweli kuwa spare za Nissan ni ghali, bt Hawazichakachui kama za Toyota, mara zote tofauti si kubwa sana, And ukibadili spare Once wa Toyota atabadili twice to thrice kabla ya next changing ya Nissan. Binafsi natumia Nissan kwa Mwaka wa Sita, Na kipato changu si kikubwa.

  Mafuta pia Nissan X trail ni Cc2000, Big horn ni cc3000. Then opt Nissan Xtrail Fasta kaka.
   
 8. m

  mndebile Senior Member

  #8
  Feb 2, 2011
  Joined: Sep 4, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mie natumia X Trail, asikuambie mtu huo usafiri umetulia sana na kama ni ulaji wa mafuta si mbaya. Ila kuna watu ukiongea nao utasikia wanasema bodi yake ni mayai, sasa kitu cha kujiuliza wanataka bodi kama lorry? halafu watu wengi wanapenda RAV 4, kitu ambacho RAV4 2002 model na kuendelea bei yake iko juu sana hii ni kutokana na wateja wake ni wengi sana.
  Chukua Nissan X trail mkuu wala hutajuta.
   
 9. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #9
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kuna sababu RAV4 models za hivi karibuni zinaitwa "Kili-time" kwenye maeneo yenye kuuza vipuri vya magari. Uamuzi wako wa gari utategemea pia aina ya matumizi yako, Bighorn unaweza kulitimba zaidi (suspension wise ni more durable) ukilinganisha na X-Trail ila X-Trail liko more road oriented na ukipata mkeka mzuri utalipenda. Kitu pekee chenye kuboa kwenye X-Trail ni Speedometer kuwekwa katikati ya Dashboard badala ya nyuma ya usukani wa dereva.

  Kwa ufupi ni kwamba hakuna gari baya (Yes, hata Mitsu GDI ni zuri tu!) ila mahitaji, matumizi na mifuko ya watu ndiyo inayofanya gari kuwa baya.
   
 10. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  I Vote for Nissan XTrail....
   
 11. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Do you mean Haifai kuendesha Bongo? Any way Thak you very much for your Tahadhari.

  I just Preffer any of these Two. Have you ever used any of these? Do you have a beter recomandation mkuu.

  Asante sana Mkuu

  Mkuu Rav-4 new model iko juu sana, Ile old model siipendi coz inakula sana mafuta as it is full time four wheel drve.

  Asante sana Mkuu. Hivi gari ya petrol CC 2000 na Diesel CC 3000. ni ipi ina kula sana mafuta?

  Thanks Mkuu. Then ukitaka rav-4 Nzuri inabidi uagize Uingereza, not from Trade car View. Cost is over 22m.

  Mkuu nilikua naipenda sana Mitsubish GDI, But baada ya hizi story za mtaani nilikata tamaa kabisa. Nilikua nikiitaja tu, Hata mtu ambaye hajui magari anaikandia.

  Point well taken murata!
   
 12. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  rav 4 zimetulia Mkuu achana na Isuzu na Nissan
   
 13. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Tatizo Bei!!
   
 14. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #14
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  MLACHAKE, NATUMIA X TRAIL MPAKA SASA NIMEMALIZA MWAKA NA NAIPIGA HASWA KWA SAFARI HAIJALA SPEA MPAKA SASA NI SERVICE TU KILA BAADA YA KM 3,000.. Nimebadili bushes mara moja. Ulaji wa mafuta ni mzuri inategemea na uendeshaji wako. Kwenye safari ukindeshea kwenye rpm 2000-2500. utatumia lita 8.5 kwa km. 100. si haba! Kwenye foleni! Nafikiri ni kwa kila gari inatumia mpaka 10.5-14ltrs 100km. Kwa gari ya cc kubwa 3000 itatumia mafuta zaidi. Pamoja na kwamba nashughulika na magari lakini Big horn sina uzoefu nayo na nisingelikushauri uchukuwe Isuzu Big horn. Tizama X Trail zinaingia kwa wingi sana nchini jiulize kwa nini?
   
Loading...