Tanesco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mtazamaji, Feb 5, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  No pilitics. please...

  Nimeanzisha uzi huu tuchambue mashirika ya ummma .Leo naanza specific na Tanesco .Hapa tu assume kashfa ya dowans imekwisha. au haikuwai kutoea

  Kwa mujibu wa wikipedia wanasema
  Sasa tunaweza wapi kupata takwimu na uchambuzi wa mambo mbali mbali

  • Tanesco au serikali inatumia wastani wa shili ngagapi kwenye miredi ya maendeleo ya umeme kila mwaka.
  • Wateja wangapi wanafungiwa service line za umeme kwa mwezi. tanzania au Dar es salaam. watejawangapi wana katiwa umeme kila mwezi
  • Tanesco inadaiwa na kudai madeni ya shilingi ngapi ?
  • Watanzania asilimia ngapi wanatumia umeme?
  • Mapato ya Tanesoni shilingi ngapi kwa mwezi
  • Matumizi ya Taneso ni shilingi ngapi kwa mwezi
  • Matumizi makubwa ya Tanesco ni nini na kiasi gani
  • Tanesco ina wafanyakazi wangapi?wanataaluma wa umeme ni asilimiangapi ya wafanyakazi wa Tanesco
  • Taneco ina movable na immabile asset za kiasi gani
  • Tanesco wenyewe wanajipima umatendaji wao kwa performance indicators gani na sisi wanchi tutumie vigezo gani
  • wewe GT wa jf kama ungekuwa ni decicion maker ndani ya Tanesco ungefanya nini tofauti au ungeboresha nini zaidi ?
  Kifupi kuna maswali mengi naomba tushuhe unbiased and statisstical analysis ya hili shirika.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wao tanesokwenye tovuti yao wanasema core function zao ni Generation transmission and Marketting.

  Nimesoma paragraph mbili tatu kwenye kipengele cha Generation nimegundua tatizo
  Je ni sahihi kusema mwaka huo 2008 demand ilikuwa ni 4,425,403,157. Tanesco wanatmbuaje demand. Mi naona ni makosa kutaja demand kwa kuzingatia tu watu waliunganishwa umeme . Demand ilitakiwa izingatie hata watu wasiokuwa na umemme but wana uwezo.
  Kuna mkosa ya makadirio yanayoweza kusababisha leo walete vifaa vya uwezo fulani baada ya muda vionekanehavidhi haja.

  Na haya maatizoya kukadiria kimakosa demand zisizo sahihi ndio maaana wanaleta vifaa vichache. mfano LUKU..
   
 3. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Usisahau kutathmini mikopo yao pia.

  Like a month back walikopeshwa dollar million 70 na Japani kwa ajili ya kukarabati mfumo wa usambazaji umeme (Iringa-Shinyanga)

  Ukarabati umeanza?

  Mkopo unatarajiwa kurudishwa vipi?
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mnajadili hili la tanesco, mnataka kuugua mawazo? Hili ni shirika lisilo na masikio ya kusikiliza wala kutekeleza maoni!
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kweli Tanesco imeshajdiliwa sana kisiasa zaidi ya mara 100. But itkuwa vizuri tukusanye fact tujue perfomrence. Nas shirika la umma halikwepeki kujadiliwa.

  Ni vizuri tujue statistic na data .usije ukakuta tanesco kuna wahisibu wengi kulilo mafundi wa umeme.
   
 6. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #6
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mtazamaji, tanesco ikiachwa ijendeshe kibiashara bila kuingiliwa na siasa/wasiasa itjiendesha vizuri sana. Naomba mawazo ya kubinaifisha yafutwe kwenye vinywa vya viongozi wetu! Tusilifanyie masihara shirika hili kama ilivyokuwa reli! Tuishike tanesco na kuitunza kama mboni ya jicho! Tunapozidi kuichokonoa chokonoa eti kuwe na kampuni nyingine za kusambaza umeme siono mantiki yake. Ilikuwa ni tanesco kuweka kurugenzi zake za ufuaji, usambazaji,masoko na kadhalika. Tusije kuwa kam nbc eti ni kubwa sana tuigawe!
   
Loading...