Gharama za kuagiza gari ya mzigo tani 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za kuagiza gari ya mzigo tani 3

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Brooklyn, Feb 8, 2011.

 1. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Wadau habari za mchana?

  Nina mpango wa kuagiza gari ya mzigo canter tani 3 toka Japan kwa ajiri ya kunisaidia katika biashara zangu. Nina maswali yafuatayo ningependa msaada toka kwenu;

  1. Je ile sheria kwamba gari isizidi umri wa miaka kumi la sivyo unapigwa faini ya uchakavu ina apply na kwenye gari za mizigo?

  2. Je ni asilimia ngapi ya import duty inachajiwa kwa gari isiyozidi tani tatu (Canter)?

  3. Je VAT ni applicable?

  4. Je customs duty ni applicable na ni asilimia ngapi?

  4. What are other charges/taxes chargeable?

  5. Ni gari aina gani za mzigo tani tatu zinafaa zaidi kwa mazingira yetu hapa DSM?

  Natanguliza shukrani!!
   
 2. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Wadau hakuna mwenye weledi eneo hili?
   
Loading...