Nawasalimu wana JF
Kwa taadhima naomba kuuliza nina eneo la nusu ekari mahala panaitwa Msongola katika wilaya ya Ilala. Naomba kujua kwa eneo hili la ardhi naweza kufanya kilimo gani kinachoweza...
QUESTION 1.
Whats the answer? Would it make things
better if we took all the money in the world
and divided it equally among everyone?
That would level the playing field and we
would all...
Je una Idea au Business project ambayo inahitaji Mtaji usiozidi Usd 4M ambayo returns yake inaweza ikafikia mpaka USD 20M baaada ya miaka 3 au 5 with very low risk ila masharti yake ni simple...
Saturday, 29 January 2011 09:50 0diggsdigg
Daniel Mjema,Moshi
SEKTA ya kahawa inakabiliwa na matatizo mbalimbali, ikiwemo usafirishaji wa kahawa kwa magendo kwenda nje ya nchi na...
Habari za maisha JF!
Nimegundua ukitoa pesa unaweza kupata zingine kwa wepesi zaidi & vice versa.
Wewe umeligundua hili?
Haihitaji imani zaidi....ni utafiti tu!
Nawasilisha!
naomba kujua uzuri wa magari ya FORD
nafahamu ford everest, ford ranger, ford expedition, ford escape, ford explorer.
Je yapo magari used?
Je ni 4WD au 2WD?
kampuni gani iliyopo Dar...
Ndugu waJF kwenye kila noti za hela kwenye kila nchi kuna alama ambazo zina maana tofauti, nimeiangalia noti ya dola moja ya Marekani nyuma kuna picha ya mnara wa Piramidi halafu kuna picha...
Kutakuwana Jukwaa la Wajasiliamali litakaloendeshwa na wajasilia mali wa Kitanzania walionza biashara yao kwa mtaji mdogo na sasa wamepata mafanikio makubwa kufikia ngazi ya kuwa WAWEKEZAJI hapa...
Wadau nahitaji gari la mizigo aina ya Mitsubish Fuso fighter ya kawaida au mayai ya kununua.Kwa mwenye nalo anaweza kutuma tangazo lake humu humu janvini kwa kuweka mawasiliano yake nami...
Wataalam,
Nimepitia hii tovuti kujua pesa yetu ukilinganisha na za nchi zingine. Mbona tuko karibu na mwisho? Ni Zimbabwe tu ndio tunawapita kwa mbali wengine ni atmost 3 times.
Tembelea...
Naomba kuuliza kama kuna mahali ambapo naweza kusoma maendeleo ya uwekezaji, biashara, uzalishaji, wa hapa tanzania katika lugha nyepesi na endelevu.
mfano
1. majina ya makampuni na miaka...
Wadau nnaomba mnisaidie hili.Tanzania ni moja na ina katiba moja ambayo ndo inatumika Bara na Visiwani.Tanzania Ina kusanya Kodi nchi nzima kwa kupitia TRA ambayo ipo kwa Mujibu wa Katiba ya Nchi...
By james anyanzwa
The global economy is projected to grow by 4.5 per cent this year buoyed by increased activities in the emerging and developing economies.
According to the International...
A more hopeful continent Jan 6th 2011 | from PRINT EDITION
MUCH has been written about the rise of the BRICs (Brazil, Russia, India and China) and the shift in economic power eastward as Asia...
Tanzania's proven gas reserves more than double
Fri Jan 21, 2011 8:03am GMT
[-] Text [+]
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania's proven natural gas reserves have more than doubled to now...
Recent discoveries of natural gas off the coast of Tanzania have taken the East African nations total reserves to 7.5 trillion cubic feet, sufficient to allow exports to the region, the East...
JE niemumizwa na wAChina,
nimewasialiana na kampuni ya kichinav(electronics manufacturer) ili wanitumie sample ya kitu,thamani ya dola 145 and DHL freight to tz dola 40 jumla nimetuma dola 185...
Waungwana, naomba anaeifahamu website ya wizara ya viwanda na biashara Tanzania anisaidie as ninahitaji info ambazo nadhani naweza kuzipata huko, nimegoogle sijaipata.
Please help.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.