Wana JF Naitaji Masaada Wenu

Gerald

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
290
46
Napenda kujua ni Taasisi gani inakopesha kwa riba nafuu na wenye masharti yasio kuwa magumu cause izi bank zetu zina ukiritimba wa hali ya juu ingawa inawezekana baadhi ambazo sizifahamu zikawa ni rahisi kupata.

Pia natakiwa niwe na nini ili nikamilishe adhama yao ya kupata mkopo achilia mbali na lesini ya biashara, hati ya shamba nini hasa kingine ninaweza kuwa nacho nikafanikisha lengo langu wanauchumi nisaidieni kwa hili
 
Back
Top Bottom