TanzActive
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 367
- 73
Wana JF kuna hizi tetesi mwenye data kamili atuthibitishie
Ephraim Mafuru ,Mkurugenzi wa masoko VODACOMWho is E. Mafuru? Additional information required. Au unaogopa?.
Inawezekana kwani jamaa kwa uswahiba!!
ilitangazwa hata Baba aliomba piaIlitanganzwa hii nafasi?
TTC is underperforming and one of the reason naamin ndani ya TTCL kuna "double agent" I belive in TTCL there are some decion makers wana sabotage hili shirika kwa manufaa ya kampuni nyingine shindani
If it is True hope Mafuru is not among them and will bring innovite ideas to keep TTCL ahead.
ilitangazwa hata Baba aliomba pia
Ilitanganzwa hii nafasi?
jamaa ni kichwa huyu nimefanya nae kazi pale voda... na mpka naondoka pale yule jamaa yuko fiti
sina uhakika kama anapewa cheo kwa kigezo hicho ulichosema mleta mada
kama taratibu za ajira zitakua zimefuatwa ni halali kijana kupewa hiyo nafasi maana pia ni kijana mzuri kama ameweza kuvumilia miaka yote vodacom na kama mnavyojua vodacom ukilinganisha na makampuni mengine ya simu ndo inatoa misaada mingi ya kijamii kuliko yote.
INSHALAH Mwacheni akatusaidie pale TTCL maana tunahitaji vijana wenye mawazo mapya kama yeye na msianze habari za uswahiba.
Maslahi ya nchi mbele.