Shukrani kwa newmzalendo

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Baba kama unakumbuka ulinielekeza kufungua website kwa domain.co.cc na kuimask! duh nimekukubali! nipo hewani sasa! ila nimeamua iwe ya kikoffical tu iswe wikliks wataniua! Thnaks sana kikwetu WABEJA SANA!
 
karibu tena .in JF its all about sharing and giving knowledge . website inaitwaje ?
Baba kama unakumbuka ulinielekeza kufungua website kwa domain.co.cc na kuimask! duh nimekukubali! nipo hewani sasa! ila nimeamua iwe ya kikoffical tu iswe wikliks wataniua! Thnaks sana kikwetu WABEJA SANA!
 
nimeicheki,umeanza vizuri,ukishaanza kupata pesa,mlipe professional akutengenezee kitu kizuri zaidi.or u can contact me when u r ready.trainning proposal yako inaeleweka though nakushauri uipost ktk forum ya wataalam wa lugha waipitie.
 
Nakubaliana na wewe.
There is something about it that bothers my listening flow. Inawezekana ni sauti au like you said, mpangilio wa maneno na matamshi katika kila sentensi.
Mwanzo mzuri lakini.
 
Msijali wakuu nitajihidi ndo imefanyiwa kazi kwa muda wa siku 3 tu! Then hata mimi sina education ya web designing just utundu tu! Nitaifanyia marekebisho soon na baada ya hapo nitawasiliana nawe mzalendo!
 
Safi ndugu yangu usijali nitaifanyia matibabu!
 
nimeicheki,umeanza vizuri,ukishaanza kupata pesa,mlipe professional akutengenezee kitu kizuri zaidi.or u can contact me when u r ready.trainning proposal yako inaeleweka though nakushauri uipost ktk forum ya wataalam wa lugha waipitie.

forum gani mkuu nielekeze niitupe humo!
 
Msijali wakuu nitajihidi ndo imefanyiwa kazi kwa muda wa siku 3 tu! Then hata mimi sina education ya web designing just utundu tu! Nitaifanyia marekebisho soon na baada ya hapo nitawasiliana nawe mzalendo!

Mazunguse acha upumbafu pliz! Usitake tufikishane mbali since nakufahamu mapaka mlango wa chumbani kwako! Mjinga wewe!
 
Nakubaliana na wewe.
There is something about it that bothers my listening flow. Inawezekana ni sauti au like you said, mpangilio wa maneno na matamshi katika kila sentensi.
Mwanzo mzuri lakini.

Sasa mkuu unaisaidiaje? nataka niipitishe kwenye forum ya wataalamu wa lugha! Ni wapi? nitajitahidi mkuu nikiwa safi nitakutafuta wewe!
 
click home,then utaona Jukwaa la Lugha.ipo chini kidogo ktk listing ya homepage.hapo kuna wataalam na watu wenye intrest kubwa na lugha.
kama ilivyo akina Ivuga na Maria Roza ktk jukwaa la mambo ya kikubwa.i believe kuna wata with same passion ktk suala la lugha wataweza kukusaidia kuiboresha vizuri
 
Back
Top Bottom