Taarifa ya Mh. Pinda Waziri Mkuu wa Tanzania kuhusu tatizo la mgawo wa umeme imenifanya niamini kuwa sensa ya watu Tanzania ni kupoteza tu rasilimali za nchi kwani matokeo yake hayatumiki kupanga...
JESHI la Polisi mkoani Ruvuma linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kukutwa wakiwa wanatengeneza noti bandia kwenye nyumba ya kulala wageni ya Kisale iliyopo
mjini hapa.
Kamanda wa Polisi...
Wenye viwanda watishia kuvifunga Friday, 21 January 2011 19:53
Raymond Kaminyoge
Mwananchi
WAMILIKI wa viwanda nchini, wametishia kufunga viwanda vyao kutokana na gharama kubwa za uendeshaji...
Wakuu,
Nimetazama habari ITV, mabasi yote yaendayo mikoani kutokea Ubungo yanatakiwa yawe yamejiunga na CAR TRACKING SYSTEM hadi ifikapo 15.03.2011.
Je wakuu, hii CTS ina umuhimu upi kwa mabasi...
A University of Dar es Salaam (UDSM) economist said in an interview yesterday that Tanzanians should brace for tough life this year despite the latest prediction by the World Bank (WB) that Africa...
Taking into account of all the minerals deposits (i.e., Gold, Nickel, Uranium, Tanzanite, Rare Eath Metals, etc.) The vast natural gas deposits, Mt. Kilimanjaro, Ngorongoro crater, Serengeti...
I am floating 7.5% shares (which is 50% of my 15% shares) in a brand new company, Tritan Limited. The shares are worth TZS 37,500,000! But I am floating them for only TZS 10,000,000! A TZS...
Wenye viwanda watishia kuvifunga Friday, 21 January 2011 19:53
Raymond Kaminyoge
WAMILIKI wa viwanda nchini, wametishia kufunga viwanda vyao kutokana...
Wana JF najua humu ndani kuna mchanganyiko wa kila mbongo wenye sifa tofauti.
Nimekaa kwa muda mrefu na imenikera sana suala la umeme. Sasa nimefikiria kwa vile serikali inaonekana haiko tayari...
Wadau naomba kuuliza kama kuna mtu anafahamu benki yoyote ambayo inatoa mikopo kwa wafanyakazi(personal loan)ambayo interest yake ni nafuu below 20.Sio lazima benk hata taasisi yenye masharti...
Kisiju ipo wapi?
Kutoka Dar mpaka kufika hapo kuna usafiri gani na gharama zikoje?
Nilipata taarifa kuwa kuna kuku wa kienyeji, katika mchakato wa kutaka kupunguza makali ya maisha nataka kuanza...
Modern oil refinery for Dar es Salaam
A FOUR-nation consortium will soon start construction a state-of-the-art oil refinery in Dar es Salaam and an oil pipeline from the city to Mwanza and...
Wana JF,Inahitajika nyumba kwa ajili ya ofisi yenye sifa zifuatazo/zinazokaribiana na hizi hapa chini:1. Iwe Dar es Salaam maeneo ya Kinondoni/Mikocheni/Mwenge au Sinza.2. Iwe na uwezo wa kutumiwa...
We would like to take this opportunity to introduce Mzalendo Credit Limited to your esteemed blog.
Mzalendo Credit Limited, is a lending institution focusing on short term loans (i.e. spanning...
Kamati yaundwa kurekebisha STAMICO
Na David John
SERIKALI imeunda kamati ya watalaamu ya kurekebisha Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) ambalo ufanisi wake umekuwa hafifu.Hatua...
Wadau poleni na majukumu ya kila siku ya ujenzi wa taifa sasa naomba kuleta mezani hoja ya kutafuta soko la asali mbichi ya nyuki wa dogo.naomba msaada wa masoko.
Mwandosya: Maji ya Victoria kufika Tabora 2014
Tuesday, 18 January 2011 21:00
Mwandishi Wetu, Tabora
WAZIRI wa Maji ,Profesa Mark Mwandosya, amesema...
Tucta yashikia bango maandamano kupinga bei ya umeme
Wednesday, 19 January 2011 21:42
Patricia Kimelemeta
SHIRIKISHO la vyama vya Wafanyakazi nchini...
Wadau bandari wachachamaa kukatika umeme 'Long room'
Na Mwandishi Wetu
WADAU mbalimbali wa bandari nchini wameiomba serikali kuhakikisha Idara ya Ushuru wa Forodha inapewa kipaumbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.