Bakhresa, Diallo, Mengi, chukueni sekta ya Madini kama billionea Batista wa Brazil

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,283
24,155
Jambo moja ambalo ni la kujiuliza kwa nini matajiri wetu wa Ki-Tanzania kama Bakhresa, Diallo, Reginald Mengi n.k hawajiingizi na kuwekeza ktk sekta zenye utajiri mkubwa kama viwanda vikubwa, migodi ya madini/chuma/gesi/mchuchuma/geita n.k

Nchi kama India au Brazil matajiri wengi tu wazalendo wamewekeza pia ktk viwanda vya chuma, migodi wa madini ambayo imewawezesha wao binafsi na nchi zao kuimarika kiuchumi na ki-utajiri. Pia imewawezesha wafanyabiashara hao wa viwanda vikubwa na migodi/kuyeyusha chuma n.k kujitanua na kuwekeza nchi za ngambo kuongeza utajiri wao na wa nchi zao.

Wana-JF tujiulize je ni kwa sababu ya kuwekewa vikwanzo na serikali yetu ndiyo inafanya ma-billionea wetu wa-Tanzania kufanya biashara za vituo vya TV/redio/magazeti/ashikirimu tu au kuna sababu nyingine?

Tumtazame huyu Bilionea Mr. Ieke Batista wa Brazil na biashara zake:

Eike Batista

220px-Eike_Batista.jpg


BornNovember 3, 1957 (1957-11-03) (age 53)

Governador Valadares, BrazilAlma mater
Dropout, RWTH Aachen University
OccupationCEO of EBX Group
Net worth
11px-Increase2.svg.png
$27 billion (2010)[1]
SpouseLuma de Oliveira (1991–2004)
ChildrenThor Batista (b. 1992)
Olin Batista (b. 1996)

Eike Fuhrken Batista, more commonly Eike Batista or simply Eike (Governador Valadares, November 3, 1957), is a Brazilian business baron. He has founded companies in different business sectors, mainly in mining. He is the son of Eliezer Batista da Silva, a longtime head of mining company Vale. As of 2010[update], he is the eighth richest person in the world.[2]

Biography
Born in Brazil, Batista spent most of his childhood in Europe. He lived in Germany from 1969 to 1980, and began studying engineering there at Aachen University but dropped out of college without completing his degree.

In 1980, he moved back to Brazil to begin a gold and trading company in the Amazon. Shortly after he joined Canadian mining firm TVX Gold, making and then losing a fortune, before finally selling his stake in the company for $1 billion in 2000. Afterward he reinvested in several businesses, including mining.[3] A large portion of his wealth was made from OGX, an oil and gas exploration company founded in 2007.[2] In 2010, he became the wealthiest person in Brazil, with an estimated fortune of US$27.0 billion, making him the fourth richest person living in the Americas and the eighth richest person in the world according to Forbes Magazine.[1]
[edit] Personal life

He married the famous Brazilian actress, Playboy cover girl, and carnival queen Luma de Oliveira in 1991 and had two children with her, Thor and Olin, before divorcing in 2004.[4]
Batista is known for maintaining a high profile. He is outspoken about his target of becoming the richest person in the world.[5] His donations often make headlines, as when he bid R$ 500,000 on a suit used by President Lula on inauguration day, with proceeds going to charity.[6] Batista pledged to donate R$ 20 million yearly, for five years, to the Pacifying Police Unit program in Rio de Janeiro.[7]
Batista is superstitious, with a particular fondness for the number 63, the Sun, and the letter X, that is featured in all his companies' names for its supposed money-attracting quality.[5]
Batista's oil company OGX will start oil production next year. The company was created in 2007. The first time a company has started oil production in such a short time.
He and his older son Thor Batista love speed boats. Batista owns a 48 foot kevlar/carbon fiber made Catamaran with two 1600 horsepower twin-supercharged V8 engines. The boat is capable of reaching speeds of over 160 miles per hour.
[edit] Enterprises





Major companies founded by Eike Batista:
 
kuna issue ya 30% kwenye ku-acquire exploration plots or plots with proven reserves! kitu ambacho matajiri wa hapa hawawezi kutoa! btw kuwekeza kwenye mgodi si mchezo mkuu, it goes up to over a billion US$ for underground mine! btw Mengi yupo kwenye madini ila in partnership na wazoefu wa venture kama hizo na si solo
 
Kuewekeza katika secta ulizotaja kunategemea mambo kadhaa.mambo hayo ni kama uwezekano wa kupata kibali. mtaji, uhakika wa kupata faida, na ujuzi au uelewa wa shughuli hizo n.k Matajiri wengi wangependa kupata faida ya uhakika na kwa haraka. hivyo miradi kama ya chakula, vinywaji, usafiri mahoteli nk. ni wazi zaidi na hupendelewa zaidi.
 
kuna issue ya 30% kwenye ku-acquire exploration plots or plots with proven reserves! kitu ambacho matajiri wa hapa hawawezi kutoa! btw kuwekeza kwenye mgodi si mchezo mkuu, it goes up to over a billion US$ for underground mine! btw Mengi yupo kwenye madini ila in partnership na wazoefu wa venture kama hizo na si solo
Jana niliweka thread ya investors in the west sasa wapo happy na 'barrick' ambayo jamaa kwenye hiyo financial report anelezea kuwa sasa hivi ni tembo kwa ubuwa na future is growth and profit at 'barrik'.

Hawana tena debt meaning most of their fixed costs are covered except for the wages. Nilijua labda wadau watakuja sasa na kuuliza lini serikali itawaongezea kodi hawa jamaa kwakuwa sasa wapo on the profit zone.

Lakini ndio kesho yake anakuja mtu kukwambia kwanini matajiri wetu wasipewe madini as if those machines required for the job are cheap.

Kaazi kweli kweli
 
Hapa watanzania wanatakiwa kuthubutu tu! Na serikali iwape full support basi! Kuna wakati nikiwa nzega mwaka 2000 ilikuwa ziara ya kibiashara na hawa jamaa wa resolut wakawa wanatutembeza kuona shughuli zinavyoendeshwa. Tukaoneshwa Mitambo, magari maalum ya kubeba udongo wa dhahabu, nakadhalika. Nikamchomekea swali la je huu uwekezaji si hela nyingi sana? Akanijibu mpaka wakati huo wamewekeza dola million 500. Kurudisha? Alisema kwa kujiamini kuwa ni miaka mitatu! Na hapo wana msamaha wa kodi miaka mitano! Swali. Tatizo ni nini mtanzania /watanzania wakawezeshwa na serikali kwa vile kuna urahisi wa kuwafuatilia wakawezeshwa? Au wawe na 50/50 kwa ubia na wageni? Mtaji wa mtanzania uwe ni ardhi na madini yenyewe?! Wageni walete mitambo! Naomba kutoa hoja.
 
Back
Top Bottom