Suluhisho kwa wajasiriamali (kudhibiti mapato, matumizi, mauzo) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Suluhisho kwa wajasiriamali (kudhibiti mapato, matumizi, mauzo)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by brianabia, Feb 2, 2011.

 1. b

  brianabia New Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  logo.jpg

  Workflow Robot ERP ni mfumo wa komputa unaotumika kusimamia na kuratibu mauzo, mapato, matumizi na stoku. Hutumika kwa mpangilio uliowazi na kudhibiti kila sehemu ya biashara hasa pale wafanyakazi wanapofanya kazi kwa pamoja. Kutumia 'Workflow Robot' kutapunguza pia kazi za uandishi kwenye karatasi kwa utawala pamoja na muda kwa ujumla.  1. Ni mfumo Rahisi na wa haraka:
  Ukiwa na mfumo huu inakutolea taarifa zote muhimu za kifedha pia ripoti za wafanyakazi na sio lazima kuwa na taaluma ya kiuhasibu.


  2. Huduma bora kwa wateja:
  Timu yetu yenye watahalam wa kutosha iko tayari kutoa msaada na kujibu maswali yako ndani ya masaa 24 kuhusu utumiaji wa mfumo huu.


  3. Ni Nafuu na wa kuaminika:
  Unatoa ufumbuzi wa kifanisi na kwa wakati kwa biashara yako. Pia utapata taarifa zinazohusiana na fedha kwa mfano: (Stock Valuation, All financal reports including Profit And Loss, Balance Sheet, General Ledger, Bank Statements, VAT Returns, Budget vs Actual, Customers, Suppliers, Fixed Assets and Employees).  4. Unauwezo wa kufanya kazi zako ukiwa mahali popote:
  Ukiwa na mfumo huu kwenye mtandao hautakuwa na kikwazo cha aina yoyote katika kufanya shughuli zako. Unaweza kutumia ukiwa ofisini, nyumbani na hata unaweza kutumia kupitia simu yako ya mkononi .


  5. Unaruhusu watumiaji zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja:
  Unaruhusu watumiaji zaidi ya mmoja kufanya kazi tofauti kwa wakati mmoja, (mfano, mmoja anafanya mauzo na mwingine ana printi taarifa au anaingiza malipo. Pia unakuwezesha kutumia sarafu za nchi mbalimbali katika biashara yako.


  6. Kuchambua biashara yako:
  Unakuwezesha kujua mauzo uliyofanya pia unakuonyesha wale wateja unaowadai na supplier wanakudai.


  7. Kuweka mtiririko wa hesabu zako:
  Mfumo huu unatoa urahisi wa kutunza kumbukumbu. Unaweza pia kupata taarifa zilizopita na kuhamisha na kuhifadhi kumbukumbu zako kadiri unavyotaka.


  Workflow Robot erp inahusisha vipengele vifuatavyo:-
  · Asset Management
  · Purchasing Management (AP)
  · Sales Management (AR)
  · Inventory/Stock Management
  · Microfinance
  · Budget

  Kwa maelezo zaidi tembeleya tovuti yetu www.wfroboterp.com au wasiliana kwa namba +255 769 483 862, 0713 598 826 or +255 222 136 389
   
 2. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Waweza tupatia Demo.
   
 3. b

  brianabia New Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  you can visit www.wfroboterp.com utapata demo.
   
Loading...