Payslip yangu inasoma zero, narudi Kijijini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Payslip yangu inasoma zero, narudi Kijijini

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ANKOJEI, Jun 30, 2011.

 1. ANKOJEI

  ANKOJEI JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 701
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  mwisho wa mwezi ukifika payslip inoposoma karibu na zero! najiluza maswali mengi sana. Aibu inaniingia mwanaume wa nguvu ivi watu wakijua payslip inasoma karibu na zero itakuwaje. watoto wangu wakijua itakuwaje. ivi tutafika kweli???
  ukizingatia mwisho wa mwezi unaangukia weekend da,
  michango ya harusi kadi kibao mezani,
  wadogo wawili wanataka ada za shule,
  wanangu nguo za kuvaa zimechanika mogotini, lakini uyu mvulana hamna noma. atavumilia tu!
  waifu hajaenda saloon tangu mwisho wa april,

  wadau hii imekaa vibaya. NARUDI KIJIJINI. kwa mara ya Pili,
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Mkuu unatoka kijiji gani ili ukienda nikupigie simu unijulishe nini kinaendelea huko? Pili unaweza ku-win kirahisi, ukifika anza taratibu mpaka wakuu wa kijiji wakuelewe. Ukienda mbio watakuwekea biti.

  Hata hivyo safari njema.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  ukipata nauli usirudi mjini, anzisha kamradi walau ka kurepea baiskeli. inasikitisha sana aisee
   
 4. ANKOJEI

  ANKOJEI JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 701
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  oldonyosambu, haki naenda kulima karoti
   
 5. ANKOJEI

  ANKOJEI JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 701
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  oldonyosambu, haki naenda kulima karoti
   
 6. M

  Malila JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Kumbe oldonyo, wahi kabisa,karoti lazima zikutoe mwanawane. Zikiwa tayari ni-pm nije kununua kwa jumla jumla.
   
Loading...