Unaweza kuwa millionaire kwa kufanya kazi parttime katika field ya network marketing | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unaweza kuwa millionaire kwa kufanya kazi parttime katika field ya network marketing

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by 1975, Jun 28, 2011.

 1. 1

  1975 Senior Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu katika mfumo soko asili kiwanda huzalisha bidhaa hufanya masoko (media,mabango,....) na kumuuzia agent kisha agent humuuzia mfanyabiashara wa jumla na mufanya biashara wa jumla humuuzia mulaji hao wote wewe ndio unawalipa ndio maana cocacola kiwandani sh260 lakini dukani sh 500.Sasa upo mufumo huru wa network marketing au mufumo masoko mtandao ambao wenyewe hutoa middle man wote na kumuuzia moja kwa moja mulaji halafu faida inyotokana na kutangaza,middleman cost and profits mnagawana nayo nitaeleza,leo unajiunga kwangu ambaye tayari nimejiunga halafu unatafuta watu wa chini yako watatu na wao wanatafuta watu wa chini yao watatu inaenedelea hivyo hivyo kama inavyoonyesha hapo chini
  1=wewe
  (1*3)+1=4
  (3*3)+4=12
  (9*3)+12=39
  (27*3)+39=120
  na kuendelea
  hawa watu 120 wakitumia bidhaa uzoefu unaonyesha utapata si chini ya sh 2000000 kwa mwenzi
  FAIDA ZAKLE
  -LEO UKIUGUA AU KUFA MWAJIRI WAKO HATAENDELEA KULIPA MSHAHARA
  -INATUMIA MUDA MCHACHE UNAENDELEA NA AJIRA YAKO NA UNAWEZA UKATUMIA MASAA MAWILI TUU KWA SIKU
  -INARITHIKA HII INAMAANA UTAENDELEA KUPATA HERA HATA VITUKUU VYAKO VITAENDELEA KUFAIDI HATA BAADA YA WEWE KUFA
  NIPIGIE 0717031290 kwa maelezo zaidi.Pia tembelea ofisi yetu MILENIUM TOWER(GOROFA YA PILI) gorofa ya pili uliza MWAKITALU huyu ni network marketing consutancy mwenye uzoefu wa kutosha namba yake ni 0714912856 mwambie MENLEY MGATA Kanambia nije kwako.
  Asante kwa kusoma na kuchukua action{HUUZI BIDHAA UNATUMIA NA KUTAFUTA WATUMIAJI NA YEYETO ANA SIMU HIVYO ANAOWATU KWENYE SIMU HATA WAWILI NI ASSET KWAKO}
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  hizo biashara zako ni pasua kichwa na hazifai kabisa. Labda uwadanganye wasio jua hiyo biashara.

  Kama haihusiani na kuuza madawa mimi nitakutafuta but kama inahusiana na kunadi bidhaa za wazungu na wachina mimi humo sipo.
   
 3. 1

  1975 Senior Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu Mzalenda ni lazima utakuwa unahitaji somo usihofu karibu sana milenium tower gorofa ya pili uliza Mwakitalu yeye n expert aliyebobea kwenye network marketing,just go there and tell him that Menley Mgata told me to come to you his number is 0714912856
   
 4. sanchoka

  sanchoka Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni biashara ya kuhusu ki2 gan? yale madawa ya kihindi au...be specific 2jue wote
   
 5. u

  ureni JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Hiyo biashara naijua ni mchosho tu unatakiwa uwe mtaalamu wa kuuza maneno haina tofauti na umachinga unatakiwa umsomeshe mwenzako mpaka akuelewe anunue bidhaa yoyote kwenye mtandao maalum kwa imani mwenzako akishanunua wewe uliyemwelekeza unapata faida ndio maana jamaa kasema mwambie "menley mgata kanambia nije kwako"manake ni kuwa kwa wewe kununua kitu huko huyu menley mgata anapata faida zaidi.
  Ni biashara moja ambayo ni ngumu sana kwa hizi nchi zetu masikini hasa Tanzania manake bidhaa zenyewe unakuta bei ya chini ni kama dola 600 kama shilingi laki 9 hivi sasa ni wangapi utawasomesha mpaka wanunue kitu cha bei hiyo,ni ngumu kwa kweli hapa tz.
  Mimi kwa kweli watu ambao nawafahamu walioingia kwenye hiyo biashara wanaishia kushindwa na kupata hasara kubwa,ni umachinga fulani.
   
 6. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Watu wenyewe wanaosema unaweza kuwa millionnaire hawana kitu.
   
 7. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280

  mkuu hizo dawa zenu ni za kutia watu umasikini tu. Umilionea gani wakati mtu anaye fanya hiyo biashara hata nauli ya kupanda basi huwa ni shughuli. Nyie na mamirionea kiasi gani?
  Biashara ya umachinga ni ngumu sana mkuu
   
 8. 1

  1975 Senior Member

  #8
  Jun 30, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Si kweli ndugu zangu kwamba hii biashara inatakiwa kuuza maneno,kinachotakiwa ni kidogo sana yaani kutafuta watu wachache kwenye contact za simu yako au email yako na kuwashauri kuwa konsumer na katika kujoin kwao wewe unakuwa sponsor wao na the same na wao watafanya kama wewe and the chain will go on,kwa wale waliosoma kitabu cha Donald trump anasema "one thing is know is that I knows nothing",sasa kwa nini basi usichukue action halafu udiside"DONT BELIEVE ANY THING UNTIL YOU SEE WHAT IS INSIDE,COME AND LISTEN THEN YOU TAE YOUR OPTION"
   
 9. 1

  1975 Senior Member

  #9
  Jun 30, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mzalendo kwenye hii network marketing unampata mutu kama Kapuya,rwakatale na wengine wengi tuu ambao tumesoma hata kufikia masters "what you think tunatembeza bidhaa mtaani,NO YOU MUST BE JOKING".Ndio maana ninasema Mzalendo come we will teach you how to earn money just after calling few numbers from your phone contact,earn money through charting in e space with your old shool mates.Hao wanaotembeza bidhaa waulize are they trained [30 minutes training is enough to change Mzalendo's mindset]
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Forever living products eeh.
   
 11. 1

  1975 Senior Member

  #11
  Jun 30, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Husnio just come you will enjoy the tea,if possible can you SMS me and I will come to your favoured place ,so we discuss.
   
 12. 1

  1975 Senior Member

  #12
  Jun 30, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  To every one if you are in Dar es salaam can we meet?
  I will take just 10 minutes of your time,si zaidi ya hapo kwani najua muda ni dhahabu sana kwangu mimi na kwenu{Nieleze tuu nikupate wapi tuongee namba yangu ni 0717031290 au napatikana sana kwa email hii mgata.menley@huawei.com}.
   
 13. u

  ureni JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Halafu hawa jamaa ni wajanja na wazoefu wanaweza kuongea na wewe maneno mengi kwa mda mfupi wanakujenga kisaikolojia na wimbo wao mkubwa ni utakua milionea,sasa wakifanikiwa kukuteka ukanunua bidhaa kwenye mtandao wao na wewe hutataka kuingia hasara utapambana upate mtu mwingine wa kununua bidhaa kwenye huo mtandao usipopata mtu imekula kwako,huo ni umachinga watu wajanja wameanzisha kamtandao kakulamba hela za watu,hizi zote jamii za wakinaDECI
   
 14. 1

  1975 Senior Member

  #14
  Jul 1, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Naendelea kusisitiza kwa kila mmoja kwamba njoo tuongee dakika kumi tuu ziatatosha halafu utachagua option unayoitaka.namba yangu ni 0717031290 na email yango mgata.menley@huawei.com
   
Loading...