VETA wagundua gari linatotumia mionzi ya jua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VETA wagundua gari linatotumia mionzi ya jua

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Domo Zege, Jun 30, 2011.

 1. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  MAMLAKA ya Mafunzo na Ufundi Stadi Tanzania (VETA) imesema kuwa wameunda gari linalotumia mfumo wa sola.
  Mtafiti wa Soko la Ajira wa VETA, Abdallah Mhagama, alisema gari hilo walilolibuni halina moshi wala kelele lakini likiwa mahali ambapo hakuna jua kwa saa tano haliwezi kufanya kazi.
  Alisema utafiti wa gari hilo ulichukua mwaka mmoja ambapo lina uwezo wa kubeba watu wanane. “Gari hilo la sola lina spidi 100 kwa saa. Veta tuna uwezo wa kubadilisha gari lolote kulipeleka kwenye sola,” alisema na kuongeza kuwa magari yanayotumia sola hayana gharama.

  Kwa mujibu wa mtafiti huyo, alisema gari hilo limegharimu shilingi mil. saba. Alisema ubunifu huo utasaidia kupunguza gharama za mafuta.

  Sorce Tanzania Daima

   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Waaoh, good news ngoja nipeleke mkweche wangu, yaani kiangazi ni full kujiachia! Ngoma unakuja usiku, l hope kutakuwa na back up battery.

  Good job VetA!
   
 3. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Good job, bajet just 7m ingekuwa serikali ya magamba wangepiga bajeti billions of money ili wale cha juu. CCM bwana ni cancer ya Taifa
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  patent-able?
   
 5. mchillo

  mchillo JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Well done! Tatizo ni sera za serikali yetu hii legelege na mbovu. Zipo tafiti nyingi kama ile ya kufua umeme kwa kutumia upepo ambazo hakuna anayezizungumzia tena. Nina wasiwasi kwamba uvumbuzi huu pia unaweza kuishia kwenye makabrasha vinginevyo VETA wenyewe watafute mbinu za kuutangaza na kuulinda uvumbuzi wao huu. Juzi juzi imesomwa bajeti, lakini hatujasikia utafiti umetengewa kiasi gani!
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hongera...
  Lakini Mkuu andika Wametengeneza sio Wamegundua....

  Sababu hii sio teknologia mpya ipo siku nyingi sana ila advantage za petrol car zimefanya hii teknolojia isipendwe kwa sana
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Labda na sisi tunafanya kama wazungu walivyofanya kuhusu mlima kilimanjaro na ziwa victoria. teh teh teh teh
   
 8. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #8
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kichwa cha habari kinachanganya, si kweli kama VETA wamegundua solar car, hii teknolojia ipo na gari za kutumia nguvu ya jua zipo, japokuwa bado hazijaingizwa kwenye soko, ila boat zinazo tumia nguvu ya jua zipo na unaweza kuzinunua.

  Wanachotakiwa VETA, ni kuunganisha hiyo teknolojia hiweze kutumika pamoja na magari yenye kutumia petrol au diesel, kwa namna ya kuweza kuifadhi nguvu ya kuendesha mpaka pale mtu anapoishiwa mafuta, ndipo nguvu ya jua inatumia kwa dharula.
   
 9. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #9
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Huyu ndi wewe nini?

   
 10. i411

  i411 JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  hii ni ndoto au ni ukweli…… Watuwengine wanakujaga na mawazo mazuri kwenye karatasi lakini wanashindwa kuyaweka kwa matumizi ya ulimwengu. Kama veta jamani wamevumbua hilo gari mbona hatuoni picha na nimdagani kiasi gani limeshafanya safari?
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kama yanazima hovyo hovyo yataongeza foleni
   
 12. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu hili jambo sio geni; gari za solar zipo na unaweza kutengeneza gari linalotumia nishati ya aina yoyote wala Veta hawajavumbua kitu, tatizo kubwa ni kwamba hizi gari zipo slow na sababu ya nguvu inatoka kwenye panels inabidi surface area yake iwe kubwa sana ili kuweza kupata umeme wa kutosha

  Mkuu wanaweza wakafanya gari ikawa hybrid yaani inatumia petrol na nguvu nyingine lakini solar sio perfect sababu ya panels zinatakiwa kuwa kubwa kwahiyo better option labda ni kutumia battery za kucharge lakini hata hii sababu battery zinakuwa nyingi inafanya gari inakuwa nzito
   
Loading...