Kwa hili Zantel hamtendi haki kwa wateja wa modem zenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili Zantel hamtendi haki kwa wateja wa modem zenu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mhondo, Jul 1, 2011.

 1. m

  mhondo JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kitendo cha Kampuni ya simu za mkononi ya zantel kulazimisha wateja wao wa modem wanaolipia malipo ya internet kwa malipo ya kabla kupitia huduma ya/za Z-Mono na nyinginezo kwa ajili ya matumizi ya mwezi na ikatokea mtumiaji wa huduma hiyo kumaliza matumizi ya megabytes alizopewa kabla ya mwezi na akataka kulipia tena huduma hiyo kukataliwa kufanya hivyo siyo sahihi. Mteja anapomaliza megabytes alizopewa kabla ya muda analazimishwa kununua huduma nyingine yenye bei kubwa zaidi kuliko aliyotumia mwanzo. Kwa kitendo hiko ni wazi kuwa mnajikosesha mapato mengi kwani kwa wateja walio wengi wataacha kutumia hizo modem hadi kipindi alichozuiliwa kimalizike. Na ikumbukwe kwamba hata watumiaji hao wa internet wana uwezo tofauti wa fedha hivo siyo sahihi kulazimisha mtu kununua huduma ambayo hana uwezo nayo wa kuilipia.
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu tuwaache mara ngapi???,
  mimi walinipoteza walivyo-force nitumia voice calls elfu 5 kwa wiki ili niweze kujiunga Highlife, yaani hata modem sikumbuki ni wapi nilishaitupa
   
 3. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  duh wanakera kweli now natumia ya voda ila sasa inawekewa line tena inanitoa hewani
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  i am an obedient user of airtel after realizing zantel's shit
   
 5. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mwanzo niliwapenda sana walipoanza kulazimisha ni lazima utumie voice service ya 5000 kila wiki ndio uweze kujiunga na 2GB weekly nikihuzunika sana but kama kawa mlango mwingine ulikuw awazi sana Airtell wako fast kuliko mwanzo na wanatoa 3GB so just switch....
   
 6. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mi nilishatupa modem zamani sasa hivi natumia cm yangu ya nokia kama moderm huwa natumia line ya voda. Wazembe hawajui biashara, wanafikiri tuko zenji hapa
   
 7. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni kuwa wamegundua hawana mpinzani kwenye data ndio maana wanafanya wanavyotaka,mimi nimetangatanga wee na sasa nimekubali yaishe nimerudi Zantel,kisa huko kote kwingine speed ya mtandao ni kama injini inayotumia mkaa wa mawe,mara mtandao uwe chini mara upotee kuattach kapicha utachukua mwaka mzima,na ukiwa mikoani ndio usiseme,na mwisho hasira zangu ni mijitu ya TCRA sijiu inafanya nini,uprofessa wa buure kabisa,sector ya mawasiliano nafikiri ndio sector inayomwiba mtumiaji kuliko sector yoyote hapa bongo,TACRA wako kwenye kuidhinisha masafa na kusajiri radio tu,hawana jipya hii ni AIBU kwao,nchi hii kila mwenye dhamana anaangalia tumbo lake tu,hapo nyuma nilifikiri wasomi watasaidia nji hii na wananchi wake lakini wapii
   
 8. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hii ni balaa wadau yaani 1GB week moja imeisha harafu inabidi nisubili hadi mwezi uishe juzi nikaweka vocha ya buku mbili mh nusu saa kwisha kazi leo asubuhi nimetupa moderm nipo Airtel wacha niangalie upande wa pili!
   
 9. m

  mrlonely98 Member

  #9
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  jamani lazima mutumia mitandao ya simu for internet? kwanini musitumie uhuruone au powernet
   
 10. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Hii inakera sana!!! Ukweli kuwa modem za zantel ziko fast, lakini huku kulazimisha watu kutumia 5000 kwa siku 7 kujiunga na highlife weekly na 10000 kwa siku 15 kujiunga na 2GB monthly ni uhuni!!!!
   
 11. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  wengine tunakaa Kibaha kwa mfipa hiyo Uhuru one wanapatikana hapo uhindini tu
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kampun hizi zimesahauliwa na Tcra...........
   
Loading...