Hati za kumiliki ardhi za kimila | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hati za kumiliki ardhi za kimila

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kipakaMwitu, Jun 30, 2011.

 1. k

  kipakaMwitu Senior Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wanaJF, hv utoaji wa hati za kumiliki ardh vijijin /wenyewe wanaita hati za kimila/ zinatolewaje? Ni mikoa gan? wilaya zake, vijiji gan vilivyopo kwenye mpango huo wa serikali yetu ya magamba? JE PWAN KUNA HILO?
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280

  mkuu labda kwa kukusaidia kuna wilaya moja ya handeni tanga ndo ninayo ifahamu mimi inatoa hizo za kimili. But zipo na wilaya nyingine nyingi lakini si zifahamu.
   
 3. k

  kipakaMwitu Senior Member

  #3
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  thanx komando kwa msaada wako.
   
 4. M

  Malila JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka mpango ule walianza na vijiji vya mfano vichache kwa kila Wilaya, na utakuta Wilaya nyingine wameshakamilisha ktk vijiji vichache na wilaya nyingine bado. Kuna kijiji niliandikisha jina mwaka mmoja umeshapita,hakuna hata mmoja pale kijijini aliyepata hiyo hati. Cha ajabu kijiji cha jirani wilaya nyingine mkoa huo huo unaweza kupata ndani ya miezi mitatu hivi. Kuna wilaya nyingine huko mkoani Njombe, mtalaam wa ardhi alikwenda kupiga kambi kijijini kwa ajili ya hati, lakini wilaya ya jirani mtalaam hana habari.

  Kwa ufupi, haieleweki. Huku pwani sijasikia kijiji cho chote. Labda Magamba wakiamua.
   
 5. k

  kipakaMwitu Senior Member

  #5
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huku kilimanjaro kuna wilaya ya mosh vijijin naona zinaendelea kutolewa,sasa nikaona nielemishwe!, kumbe ni pilot project! Thanx Malila.
   
Loading...