Leseni ya makazi na mkopo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leseni ya makazi na mkopo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Makenya, Jul 3, 2011.

 1. Makenya

  Makenya Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf naomba kuuliza kuna benk au taasisi ya fedha ambayo wanazikubali hizi leseni,ili uweze pata mkopo.
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,996
  Trophy Points: 280
  Azania wanazikubali lakini hawakupi zaidi ya milioni kumi hata kama nyumba yako ni 100m

  na sababu kubwa ni kuwa Hizo hati za makazi zinatolewa kwa maeneo yaliyojengwa bila kufuata mipango miji na maeneo hayo yapo maalumu nao wanayajua, hawawezi kupokea hati ya makazi say ya Mbezi, kibamba, tangimbovu na maeneo yaliyo nje ya miji ya zamani kama Mazense, kinondoni, magomeni, tandika, nk

  NENDA AZANIA BANK MKUU
   
Loading...