Natafuta frame Songea kwa kufungua stationary | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta frame Songea kwa kufungua stationary

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by wanan, Jul 2, 2011.

 1. w

  wanan Senior Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Naomba msaada wenu jamani nataka frem uwezo wangu wa kodi max 150,000 na naweza kulipa miezi sita 50,000 nalipa mwaka jamani km kuna mtu unamfahamu nisaidei ndugu yenu wana jf.nawataki siku njema wote
   
 2. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Stationary-hali ya kitu kilichotulia tuli(hakina mwendo/movement), mie hapo juu siko stationary!!!!!
  Stationery-duka la vifaa vya ofisi, madaftari, kalamu , wino etc
  Chaguo ni lako.
   
 3. w

  wanan Senior Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  samahan majoja na maana nisha duka la vifaavya ofisin mambo ya lugha za watu ni tatizo majoja
   
Loading...