Kwa wakazi wa Arusha na wageni wa mji huo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wakazi wa Arusha na wageni wa mji huo.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mtoka Mbali, Jul 3, 2011.

 1. Mtoka Mbali

  Mtoka Mbali JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kama wewe ni mkazi wa Arusha au unategemea siku moja utakuwa Arusha kwa either kuishi, kutembea au kikazi na ungependa kupata usafiri wa uhakika katika mji huo basi tembelea web hii www.acitycarhire.webs.com Nimekuwa Arusha kwa kipindi cha wiki moja na nimewatumia kuanzia siku ya kwanza hadi ya mwisho kweli huduma zao za usafiri ni nzuri. Wao ni kama madreva taxi ila wanaweza kukupatia gari ukaendesha mwenyewe kama unataka hivyo. Tembelea web yao ujue wanafanyaje kazi Home - ARUSHA CITY CAR HIRE
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  aisee!!thank you
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  naomba waambie wa-ka-upgrade ka-web kao,kapo simple sana wangu
   
 4. M

  Malila JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Mwanzo mgumu Rose wata-upgrade tu siku za usoni, hata hivyo wamejitahidi.
   
 5. Mtoka Mbali

  Mtoka Mbali JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nitawaeleza siku nikirudi maana nimeshatoka huko nadhani kama baada ya mwezi mmoja hivi.
   
Loading...