Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Last wednesday 23rd i was called by a friend and told if you have extra cash buy dollars for a quick profit,i bought US d 10000 at 1735 each and the next day it had reached 1830 and it being my...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu wana jamii, nimekuwa nakerwa na rates per minutes kupiga simu Tanzania kutokea nje ya nchi kucompare na nchi zingine za Africa. Kwa mfano hebu angalia hizi rates hapa chini Special low rates...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Air Tanzania Company Limited (ATCL) is resuming service today after being grounded for the past nine months. One of its planes, a Bombadier Dash 8 Q300 that was undergoing maintenance in South...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau naombwa ajuae anijulishe . Kwanza Serikali kupitia sheria ya Village land Act ya mwaka 1999 imeweka wazi kuwa Customary certicates of titles ni sawa na title deed za kawaida. Je Bank zipi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahiaji magari ya kusafirisha zao la korosho kwa msimu wa mwaka 2011/2012. Kazi inafanyika katika wilaya za Tandahimba na Newala. Naomba tuwasiliane. email lp634366@gmail.com ili tujadiliane...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani hawa wauza viatu hapa opposite na kituo cha mafuta cha mabibo ni wezi!? nini?! Mbona wamening'ang'ania sana ninunue kiatu, mpaka nilipowachimba mkwara ndipo wakaniruhu niende zangu. Eti...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bila shaka wazima wote,nina milioni moja ambayo nataka kuanza kukopesha watu,mikopo hiyo na mpango wa kukopesha wanajamii wanaonizunguka,nataka kujua ni riba asilimia ngapi niweke,kiwango cha...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Ndugu zangu ni jumatatu nyingi tunakutana tena leo kwahiyo hatuna budi kumshukuru MUNGU kwa neema hii ya ajabu leo napendelea tuongeee kuhusu suala la kujiamini. Jiamini wewe mwenyewe na kamwe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu nilikua nahitaji kwa mwenye format ya uandisha wa barua za tenda anisaidie ninashida nayo sana thanx
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari, mm ni mtumiaji wa Air Tell Tz na kwa sasa ninatumia sim card yangu ya airtell Tanzania huku Uganda, Mwanzoni Huduma hii wakati wa Zain ilikuwa iko Imara sana na ilikua inasaidia sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu watanzania plz mwenye maoni yoyote kuhusu hili plz naomba ufunguke hapa. Nipeni njia ya kuanzisha NGO
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wandugu nimeshtushwa na kuhudhunishwa na uteuzi wa Jenerali Mboma kuwa Mwenyekiti wa board Tanesco,pamoja na hizo Meremeta,n.k baado mkuu anamteu hivi kweli hakuna watu wengine ambao kweli wana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunakusanya pesa zetu kupitia NMB kwa sababu ndiyo inapatikana sehemu nyingi walipo wateja wetu; lakini mara utasikia network inasumbua na hivyo wateja wa biashara yangu wanashindwa kutuma pesa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kuendelea kunipigania,namrudishia sifa na utukufu. Tukianza mada yetu ni hivi,kwa watu walioajiriwa wanatakiwa kujua nini waajiri wanataka kutoka kwako,jambo la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Viongozi wake wengi wakuu walikuwa na elimu ndogo tu. Mfano..Biti Titi, Mzee Kawawa, Kingunge nk. Isitoshe wale walioonekana wasomi jamaa aliwademolish...akina Tuntemeke Sanga, yule ticha wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nataka kutembelea zanzibar weekend moja, Je,ni Guest zp nzuri zenye bei ya kati ya Tshs. 20,000 - 30,000 kwa usiku mmoja? Iwe guest yenye usalama na safi. Asanteni sana.
0 Reactions
25 Replies
14K Views
Wale ambao card zao za NBC zilishachoka wana advantage zaidi, kwani NBC Visa + MasterCard sasa zinatolewa bure bila malipo. Changamkieni muwe na uwezo wa kuchukua pesa kwenye ATM za mabenki...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Wadau natafuta nokia n79 kama kuna mtu anayo anitafute 0713014400.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wadau: Naomba msaada wenu maana niko njiapanda. Nataka kufungua account katika dollars lakini nimeshindwa kuamua nitumie sarafu ipi kati ya 2 tajwa hapo juu in...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wana wa J F miye ni mkulima wa alizeti wa muda mrefu,lakini kipato chake kwa eka hakilipi kabisa sijui nakosea wapi naombeni ushauri
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom