Hawa wauza viatu soko la njia panda ya mabibo vipi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa wauza viatu soko la njia panda ya mabibo vipi??

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Nzowa Godat, Nov 1, 2011.

 1. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Jamani hawa wauza viatu hapa opposite na kituo cha mafuta cha mabibo ni wezi!? nini?! Mbona wamening'ang'ania sana ninunue kiatu, mpaka nilipowachimba mkwara ndipo wakaniruhu niende zangu. Eti kama hela haitoshi, nikusindikize ukachukue.
   
 2. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hivi hapa Dar wanakwiba mchana mchana! Loo!
   
 3. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  teh teh teh hii kali
   
Loading...