AirTell tz Roaming abroad!, it is very expensive and it is boring!

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
988
157
Habari,

mm ni mtumiaji wa Air Tell Tz na kwa sasa ninatumia sim card yangu ya airtell Tanzania huku Uganda, Mwanzoni Huduma hii wakati wa Zain ilikuwa iko Imara sana na ilikua inasaidia sana kwani charges zilikuwa ziko poa!.

Tango ilipobadili jina na kuwa AirTell imekuwa na wendawazimu sana.

Kwanza kabisa Garama zao zimekuwa juu sana alafu network kupotea sio ishu ya Ajabu(Sijui wanatufanyia makusudi au inakuaje)

Hii ni mara ya pili nashuhudia network kwa wateja Wa zain(Roaming) Network inakata kwa zaidi ya masaa 24 without Notification.


Kitu ninachojiuliza hawa jamaa wanasema ni one network Lakini cha ajabu Ukipigiwa simu unakatwa 45 Tshs, na wewe ili uweze kupiga simu ni lazima salio lisome 500 ndo mini mum!. Dah yaani haina kubeep.

Wakati wenzao wa VODACOM, Kupokea simu unapokea bure, Na kupiga simu hata ukiwa na 100Tshs unaweza kupiga simu yeyote na ukaongea mpaka mnaelewana.

Kwa kweli Airtell inaboa baadhi ya huduma and Mko na huduma mbovu sana kwa Wateja wenu tangu Mlipohamia Punjab!

AAAH!
 
Back
Top Bottom