Mwenyekiti Mpya wa board Tanesco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti Mpya wa board Tanesco

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mfianchi, Oct 31, 2011.

 1. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Wandugu nimeshtushwa na kuhudhunishwa na uteuzi wa Jenerali Mboma kuwa Mwenyekiti wa board Tanesco,pamoja na hizo Meremeta,n.k baado mkuu anamteu hivi kweli hakuna watu wengine ambao kweli wana vision ya kulikwamua hili shirika?kwani wakati wote ni walewale (recycle),je huyu mzee kweli atakuwa na jipya gani,ingawa yeye si mtendaji lakini bado ana nguvu na ushawishi katika shirika ,hebu turudi nyuma je tumesahu ya Mwenyekiti wa Mamlaka ya hifadhi Ngorongoro Mzee Msekwa (ni mzee kweli)mambo aliyoyafanya?.Huyu Mboma ana machimbo yake ya mkaa wa mawe pale Chunya ,hala hala asije akalazimisha kuwauzia Tanesco huo mkaa wa mawe kwa manufaa binafsi,je kweli nchi hii hakuna vijana wa dotcom ambao wanaenda na dunia ilivyo hivi sasa,badala ya kutuletea wazee ambao wamestaafu na hawana cha kukosa katika maisha yao?hakika sasa Tanesco badalya ya kutolewa ICU sasa ndio mwanzo inazidi kupewa nusu kaputi ipasuliwe kiulaini
   
Loading...