Habari kwa wenye magari (tani 10, 15, na 20)

Kipeperushi

Senior Member
Aug 17, 2011
167
33
Nahiaji magari ya kusafirisha zao la korosho kwa msimu wa mwaka 2011/2012.
Kazi inafanyika katika wilaya za Tandahimba na Newala. Naomba tuwasiliane. email lp634366@gmail.com ili tujadiliane kibiashara.
 
Gari zinaharibika sana huko ikirudi matengenezo yake balaa
 
Back
Top Bottom