Je bank za tanzania zinakubli hati za kimila? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je bank za tanzania zinakubli hati za kimila?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mfamaji, Nov 1, 2011.

 1. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Wadau naombwa ajuae anijulishe . Kwanza Serikali kupitia sheria ya Village land Act ya mwaka 1999 imeweka wazi kuwa Customary certicates of titles ni sawa na title deed za kawaida.

  Je Bank zipi za Tanzania ambazo zimekubaliana na utarataibu huu ili hizo hati za kimila ziweze kutumika kukopeshwa?
   
 2. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zinakubalika boss wewe nenda kakope hiyo nyumba ka unayo hiyo hati ya kimira
   
 3. Gold Addict

  Gold Addict Senior Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu crdb bnk wanakubali
   
 4. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Perfection ya hati za kilila ni shughuli pevu, sidhani kama kuna benki serious inakubali kubeba risk ya namna hiyo.
   
Loading...