Mwajiri wako anataka nini kutoka kwako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwajiri wako anataka nini kutoka kwako?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Dio, Oct 26, 2011.

 1. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kuendelea kunipigania,namrudishia sifa na utukufu. Tukianza mada yetu ni hivi,kwa watu walioajiriwa wanatakiwa kujua nini waajiri wanataka kutoka kwako,jambo la kwanza wanalotaka ni i-uchapakazi ni mtu ambaye akiingia kazini na kuanza kazi mara moja na sio mpaka kusaidiwa muda wote,au kuelekezwa na mtu. ii-vilevile wanataka mtu mwaminifu wa fedha kumbukumbu na muda iii-team bulder(team worker) kushirikiana na wengine. Iv-kujieleza na kueleweka vizuri zaid. V-mbunifu,kuleta mawazo mapya kuangalia mbele. Vi-awe ni mtu wa malengo. Ndugu zangu ukiyafanya haya utadumu kazini. Fanya hvyo na utaona. source:GSHAYO
   
 2. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Asante sana mkubwa kwa maelezo yako mazuri ambayo kwa upande wangu nafikiri yanamfaa kila mtu aliyeajiriwa. pia yanamfaa mtu anaetafuta ajira ili ajue nini cha kufanya mara baada ya kupata ajira
  Thanks
   
 3. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  pouwa mkubwa check na kwenye hyo link kuna mambo kama hayo
   
Loading...