NBC Visa + MasterCard zaanza kugawiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NBC Visa + MasterCard zaanza kugawiwa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Sinkala, Oct 25, 2011.

 1. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wale ambao card zao za NBC zilishachoka wana advantage zaidi, kwani NBC Visa + MasterCard sasa zinatolewa bure bila malipo. Changamkieni muwe na uwezo wa kuchukua pesa kwenye ATM za mabenki tofauti (ila kwa gharama zaidi kila muamala) ila walau itawasaidia wale wanaokuwa na shida ya fedha huku ATM za benki yao ikiwa haifanyi kazi. Lakini ndo hivyo, kama watu mlizoea kutofautisha ATM Card zenu kwa kuangalia picha, kwa sasa mtalazimika mkariri namba za card, kwani hakuna picha, vinginevyo unaweza ukajikuta umebeba kadi ya mkeo au mumeo, unafika kwenye ATM unashangaa umekosea password ! Sana sana signature ndio itasaidia kutofautisha, ila nayo ipo upande wa nyuma! Na wale mnaosafiri nje ya nchi sasa mna nafasi zaidi ya uhakika wa kuchukua fedha mkiwa huko. KAZI KWENU !![​IMG]
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  USA kweli inaongoza dunia hii.
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ni debit au credit cards?
   
 4. Mwanakilimo

  Mwanakilimo Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kivipi mkuu...

  BTW, NBC wana kazi kubwa sana ya kufanya kabla hawajanishawishi nirudi huko...
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Visa na MasterCard ni kampuni za wapi? Azerbaijan?
   
 6. Mwanakilimo

  Mwanakilimo Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Owkee... nilikuwa sifahamu mzee...

  Kwa post yako leo nimeongeza ufahamu wangu... thanks
   
 7. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  usa and uk
   
 8. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wazee wa mafeki/China nao wameanzisha card network yao inaitwa Cha Ching, wanataka ku-compete na Visa, Master Card, Discovery na American Express. Subirini hiyo nayo
   
 9. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Hiyo ya kichana wala sintatia mkono. Jinsi majumba yanvyoungua na minyaya yao feki, si ndo itakuwa unatoa hela kwenye atm kumbe ndo inahamia kwao uchinani. Akhaaa, kwa hilo watakuwa wameinvest kihasara kwenye hii area
   
 10. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hapana. Kwa sasa wenyewe ni Kazhakastan kabla ya mwakani kuwakabidhi WACHINA. Teteteeeee..... Mchina kuinunua USA.
   
 11. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Cha Ching!!
   
 12. O

  Opyox Member

  #12
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa taarifa mkuu ngoja nichangamkie dili
   
 13. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Je umejaribu kuwauliza ni lazima mtu aende mkoani alikofungulia account au anaweza kuchukua head office Dar, badala ya kutumia pesa kusafiri?
   
 14. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ndiyo maana Australia kwa sasa kuna kampeni ya kutengeneza cards local kwa ajili ya ku-combat fraud! But as of now it is all the way VISA, Mastercard, American Express etc.
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Oct 26, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Bila kusahau Discover card...
   
 16. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Gaddaff alikuwa anataka kututoa huko lakini tukampuuzia!! Sasa naweza kusema "tume - reset" tena. Kama ilikuwa inakaribia kuwa 1, now we are back to 0. Hahahah!
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Oct 26, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  What do we have to do with Gaddafi?
   
 18. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  upuuzi kabisa. alitaka kukutoa huko akupeleke wapi?
   
 19. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Gadaff have at least a plan to isolate africa from the western country economically through initiating and fund rising for the so African Investment bank (AIB), also through the AMF which would help the african country to borrow fund at a reasonable interest than IMF, he also Supported the fund for lunching of African Communication Satellite.

  Kuna vitu vingi kutoka kwa Gaddaff, ila kwa sababu umagharibi umetufunika tuendeleeni hivyo hivyo. I am not trying anyway to say Gadaff was the only man to help africa from the new-colonialism.
   
 20. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
   
Loading...