naomba utaalam wa kulima alizeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba utaalam wa kulima alizeti

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mangolo, Oct 30, 2011.

 1. M

  Mangolo Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana wa J F miye ni mkulima wa alizeti wa muda mrefu,lakini kipato chake kwa eka hakilipi kabisa sijui nakosea wapi
  naombeni ushauri
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Je uliwahi kuwauliza watalaamu wa udongo wa sehemu unakolimia? Mvua vipi zinatosha? Mbegu unayotumia ulipata wapi?
   
Loading...