Jiamini wewe kama wewe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jiamini wewe kama wewe.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Dio, Oct 31, 2011.

 1. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ndugu zangu ni jumatatu nyingi tunakutana tena leo kwahiyo hatuna budi kumshukuru MUNGU kwa neema hii ya ajabu leo napendelea tuongeee kuhusu suala la kujiamini.
  Jiamini wewe mwenyewe na kamwe usifikirie hatua ya kujihukumu na kujiona haufai miongon mwa jamii.kwasababu tu umeshindwa ktk jambo fulani,amini kwamba kama umeshndwa ktk jambo lolote,amini kwamba kama umeshndwa leo basi kesho ni yako ya mafanikio,usijilinganishe sana na waliokuzidi kimaisha licha ya kwamba wao ndio wakupe hasira zaidi ya kupambana,kumbuka kwamba kushndwa leo umeteleza tu haujaanguka,kwani waswahli wanasema kuteleza sio kuanguka na kwamba tunajifunza kutokana na makosa.kwa maana hyo ukiona umeshindwa kufikia malengo yako tambua kuwa umejifunza na sio umekwama.ktk kushindwa zaidi kupata ujuzi na kujisafisha ukizngatia haya kesho yako ya furaha inakuja mbele yako. BARIKIWA.
  source:GSHAYO
   
 2. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  good advice
   
 3. S

  Stigliz Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante ila ningependa unipe mikakati ya kutoridhika na matatizo kwani wengi nikiwemo mimi sijaridhika na maisha hasa nikifanya tathmini ya mwaka mzima ulopita.Je nini kifanyike?Wazo la kujikomboa lingenifaa sana hususan la kibiashara.
   
 4. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  tembelea link hii utapata mada mbalimbali za kukusaidia kutatua tatizo lako
  www.gshayo.blogspot.com
   
 5. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  poa. Na asante
   
Loading...