Nataka anzisha NGO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka anzisha NGO

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Piazza jr, Oct 30, 2011.

 1. P

  Piazza jr Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari ndugu zangu watanzania plz mwenye maoni yoyote kuhusu hili plz naomba ufunguke hapa. Nipeni njia ya kuanzisha NGO
   
 2. A

  Akiri JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  unatakiwa kuonana na mwanasheria atakutengenezea Trust deeds & Trust rules, ukikamilisha hapo utapewa certificate of in cooperation then utatengeneza strategic plan, T.R.A kwa ajiri ya vat exception .lakini ni vizuri kama pia kutakuwa na board of Trustee , mengine ya kawaida uwe na physical address. watu unaofanya nao kazi hao watu wawe vichwa wanaelimu japo degree na waweze kuandika proposal vizuri. hapo utafanikiwa mengine yatakuja ukianza. huu mwongozo ni kama utapenda kuwa na ngo makini.
  niambie unatakakuanzisha NGO ya nini nitakusaidia zaidi kama utahitaji ramadhanikarim@hotmail.com
   
Loading...