Hivi kwa nini gharama ya kupiga simu Tanzania iko juu mara mbili kuliko nchi wanachama wa EAC? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwa nini gharama ya kupiga simu Tanzania iko juu mara mbili kuliko nchi wanachama wa EAC?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ICHONDI, Nov 2, 2011.

 1. I

  ICHONDI JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ndugu wana jamii, nimekuwa nakerwa na rates per minutes kupiga simu Tanzania kutokea nje ya nchi kucompare na nchi zingine za Africa. Kwa mfano hebu angalia hizi rates hapa chini
  Special low rates
  *Tanzania 17.9c/min
  * Kenya 8.9c/min
  * Uganda9.5c/min
  * Rwanda8.9c/min
  * Burundi 8.9c/min
  * Nigeria 8.9c/min
  * Zambia11.9c/min
  * Zimbabwe 13.9c/min

  Hivi ni kwa nini rates za tanzania ziwe mara mbili ya nchi wanachama wa East Africa, yaani kupiga Burundi is cheap, Zimbabwe rates ni ndogo kushinda Tanzania, kweli ?nani anasema Tanzania itaendelea. Wawekezaji wanakatishwa tamaa na cost of doing business in Tanzania. No wonder kila kukicha kuna mapromosheni sijui jishindie mamilioni na voda, sijui voda foundation inajenga madarasa, this companies are making billions of money out of wavuja jasho wa Tanzania na JK anajichekesha chekesha tu. Wabunge tunaomba jambo hili mlivalie njuga, linaumiza na linatia doa kwa nchi yetu kuwa kutokuwa competitive.
   
Loading...