Pombe ina imani yake ya ajabu sana

Pombe ina imani yake ya ajabu sana

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
57,987
Reaction score
166,212
Ukiweka imani pombe inamaliza pesa na kweli itaisha .....

Ukiweka imani pombe inakufnya ufanye mambo ya kijinga ni kweli itafanya....

Ukiweka imani pombe inakupa akili ya kutafuta pesa na kukutanisha na watu muhimu ni kweli itafanya hivyo....


Hiyo ndio inaitwa nguvu ya kutawala akili yako kwa mfumo wa imani...

Sina maneno mengi tuwelee tu 🍻🍻🍻
 
Nakumbuka mara ya kwanza kunywa pombe 97 , zilikuwa zinaitwa power one.
Mpaka leo sijawahi acha ila sijawahi lewa maana sinywi kuzidi kiasi .

Ila soon naacha aisee!
 
Back
Top Bottom