Papillon 1906
Senior Member
- Jun 19, 2025
- 189
- 654
Mke wako atakula nini akirudi kwa kuchelewa kutoka kazini?
Kazini akafanye nini?Mke wako atakula nini alirudi kwa kuchelewa kutoka kazini?
Kumbuka pia kuna suala la kufua boxer zako maana mkeo alisoma siyo aje kukufulia boksa!Mke wako atakula nini alirudi kwa kuchelewa kutoka kazini?
Atajiju.....Mke wako atakula nini alirudi kwa kuchelewa kutoka kazini?
Nioe ili nipikiwe, shida ni nini?Mke wako atakula nini alirudi kwa kuchelewa kutoka kazini?
Mke wako atakua hafanyi kazi?Kazini akafanye nini?
Haendi kazini.Mke wako atakua hafanyi kazi?
Kwanini?Haendi kazini
Ndio utaratibu wetu ulivyo.Kwanini?
Basi nioe nimechoka kufanya kazi 😎Ndio utaratibu wetu ulivyo.
Ila kazi za nyumbani haujachoka kufanya?Basi nioe nimechoka kufanya kazi 😎