JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Baada ya kuambiwa alicheka sana alafu akatikisa kichwa, akasema mpelekee na Mama Janeth aangaliye. Mama Janeth kakaa nayo anacheka. Magufuli akasema hebu rudisha huku bwana, na ninyi wanawake...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kimara- DSM Uyole-Mbeya Ccm-Iringa mjini Kiboriloni-Moshi Himo-Moshi Nyegezi-Mwanza Manzese-DSM Tegeta-,Dsm Tabata-DSm Kwa mrombo-Arusha Matejoo-Arusha Majengo-Moshi Sanawari-Arusha Mabibo-Dsm...
2 Reactions
6 Replies
133 Views
Entasupa ntung'anak muj le JF kanyor nanu ndae oleng!
7 Reactions
53 Replies
440 Views
Chitchat ( jukwaa la JF Chit-Chats and Jokes) linajulikana kama jukwaa huru ndani ya mtandao wa JamiiForums ambapo wanachama hupumzika na kupiga soga zisizo rasmi. Tofauti na majukwaa ya siasa au...
14 Reactions
90 Replies
1K Views
Wamiliki wa baadhi ya baa za mji wa babati wamekuja na mtindo mpya. Huu unahusisha kuwawekea dawa za kienyeji wateja wanaowaona wana hela ili wawe wanywaji wa kudumu kwenye baa zao hali...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Story za kijiweni 😂 Jamaa akasema: “Nikipata bilioni 1, mimi sitahangaika tena maisha yangu yote. Nitakuwa natumia laki moja tu kwa siku.” Mmoja akamuuliza: “Unajua bilioni 1 itakutosha kwa muda...
9 Reactions
5 Replies
139 Views
STORY YA LEO: USIKATE TAMAA Kijana mmoja alikuwa anaomba kazi kila siku lakini hakupata. Watu walimcheka na kumwambia hana bahati. Badala ya kukata tamaa, aliendelea kujifunza, kufanya kazi ndogo...
6 Reactions
59 Replies
400 Views
10 Reactions
21 Replies
157 Views
https://www.facebook.com/reel/1601310021524839/
6 Reactions
30 Replies
394 Views
Tatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi? Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo Upeo wetu ni mdogo Hatujakamilika kuwa binadamu kamili Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu Tumekata tamaa...
20 Reactions
273 Replies
3K Views
4 June 2026 at 10:05 p.m. And when you pray tonight, pray for forgiveness. Release the weight of old wounds and choose peace over pride. Ask God to soften your heart and remind you that healing...
12 Reactions
58 Replies
571 Views
If your Subaru announces its arrival with a loud "pop... bang... bang!", police in the Ssezibwa Region may soon be waiting for you. Authorities have launched an operation targeting Subaru...
1 Reactions
7 Replies
60 Views
Habari za mchana wakuu nina shida na wanafunzi waliomaliza SHULE YA SEKONDARI AMANA ISLAMIC iliyopo MTWARA MJINI nawatafuta wanafunzi tuliohitimu kidato cha sita mwaka 2017 Nawaomba kama wapo humu...
0 Reactions
2 Replies
51 Views
Nimeona Kuna mijadala humu kuhusu jamii forum kuwa na warembo, binafsi Mimi nilisha wahi pata bahati ya kuwaona na nikawachunguza na wakanijua japo sikutaja I'd yangu nawao hawakunitajia I'd zao...
7 Reactions
93 Replies
748 Views
Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
278 Reactions
431K Replies
20M Views
  • Closed
Wakuu wa JF, naomba dakika chache za muda wenu. Leo naandika kwa unyenyekevu nikitumaini nitapata mtu wa kuniamini na kunipa nafasi ya kuanza upya. Habari zenu wakuu. Kwa kweli nimefikiria sana...
14 Reactions
54 Replies
548 Views
  • Closed
NILIOMBA TSH 20,000 LEO... LAKINI KUNA KITU KIKUBWA ZAIDI NILICHOKIPATA. Leo nimejifunza kwamba maisha yanaweza kukushusha mpaka ukafikia hatua ambayo hukuwahi kufikiria. Unaweza kuamka ukiwa na...
3 Reactions
13 Replies
286 Views
Yaani ni makebo juu ya makebo, tena hadi mtu anakatakiwa usoni kabisaa sura haionekani😁 Ngoja niwahi nyumbani aissee
16 Reactions
38 Replies
1K Views
Wapendwa.. Kwanini Watanzania wanapenda singeli.. kijana ukimpa nyimbo ya boni mwaitege na d voice au malume.. atachagua malume.. hivi hili mnalionaje???
10 Reactions
45 Replies
432 Views
Nimeenda kwa duka nikanunua ice cream mimi sjawai kutumia.nimeuma icecream kama mkate aisee kitu ni baridi.leo ndoh nimejua kuwa inalambwa sio kuumwa.
0 Reactions
2 Replies
53 Views
Back
Top Bottom