Acha uchawi brother
Inashangaza sanaTumepoteza uelekeo kama nchi. 90% ya muda wetu tunajadili upuuzi
Hospitali ya Milembe inatakiwa ifanyiwe upanuzi ili kuweza kupokea wateja wengi zaidi 😁😁Tumepoteza uelekeo kama nchi. 90% ya muda wetu tunajadili upuuzi
Picha ya Unyayo imemgharibu KB 10 tuu kuzidownload 🔥
Nimejaribu ila haujatosha kwenye screen ya simu.Ngoja nirudie.
Hii ndio JF..Picha ya Unyayo imemgharibu KB 10 tuu kuzidownload 🔥
Ngoja nitafute unyayo wa Kulwa mapikipiki niupost.
Kuna nini loose nut, leo umelegeza nati zaidi ?
Kweli kabisa.kwa mwendo huu tutachelea kuikomboa Tanganyika yetuTumepoteza uelekeo kama nchi. 90% ya muda wetu tunajadili upuuzi