Niligoma kujaribu kila kitu na hapo nilikua na marafiki wanaofanya kila kitu.Ujana ni kujaribu kila kitu, "
Karibumimi ndo nakaribia hapo
asante nishakaribiaKaribu
ndio,kuchagua amani ya moyo kuliko mabishano yasiyo na tija.?
Nipogundua amani ni bora kuliko ushindi,nikawapa ushindi nikabaki na amani.kuchagua amani ya moyo
ewaaaakuchagua amani ya moyo kuliko mabishano yasiyo na tija.💪🏿🔥
Hujafikia huko bado!ndio,
ndio sijafika ila nimesema ninakaribia huko babuHujafikia huko bado!
Sawa mjukuu! Sasa hivi pambana ulete chaos maana ndio wakati wako. Utafikia wakati mtu akiongea pumba unamuangalia na kuona uvivu kumjibu.ndio sijafika ila nimesema nakaribia huko babu
hata saivi huwa nawajibu wachache maan nikizidisha sana naweza kupasua😅Sawa mjukuu! Sasa hivi pambana ulete chaos maana ndio wakati wako. Utafikia wakati mtu akiongea pumba unamuangalia na kuona uvivu kumjibu.
Sasa hivi unaweza kurusha ngumi kumbe mtu alikufa zamani, alisubiri ngumi yako tu, ukapewa murder case na kukaa behind bars miaka ya kutosha. Ni heri kuonekana huna nguvu, sio mjanja, hujui vurugu nk.Siku hizi vijana wanawahi sana kujichagulia amani ya moyo, hata kabla ujana wao hujawaisha mkuu.
Maisha yashabadirika siku hizi; undava undava wa kujaribu kila kitu ulikuwa enzi zenu! Hakuna kijana anazamia meli siku hizi.