JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
It was a scene straight out of Wakaliwood. During a surprise inspection by Hoima District Chairperson Uthuman Mugisha Kadiri at Kabaale Public Primary School, a stand-in teacher dramatically fled...
0 Reactions
0 Replies
29 Views
Salaam,hii ni orodha ya waongo nguli duniani. 1.Mo dewji 2.Viongozi wote wa Simba 3.Wanasiasa 4.Wasichana waliozaliwa kuanzia 2005 5.Madalali. Nawasilisha
1 Reactions
2 Replies
49 Views
Kama unamjua mganga ambae hana vipengele wala hana garama, ila ni mtaalam kweli kweli dondosha apa namba zake wadau waruke nazo. Hakikisha hana vipengele.
5 Reactions
36 Replies
429 Views
Kuna wakati nimejikuta nikifikiria sana kuhusu maisha ya mwanadamu na jinsi ambavyo kila mmoja wetu amekuja kuwa yeye. Kwa nini mimi nimekuwa mimi? Kwa nini wewe umekuwa wewe? Na kama mambo...
10 Reactions
61 Replies
424 Views
Umeshtuka usiku unasikia kiu, sasa lile wenge la usingizi unasahau dumu ambalo lina maji ya kunywa unachanganya na ndoo yenye maji uliosuuzia vyombo vichafu usiku unayochota na kunywa, 🤮
4 Reactions
5 Replies
83 Views
"Don't waste your time on revenge. The people who hurt you will eventually face their own karma.🎯" Usaorere ifre lyako o mndu ula kukoora kisasi. Wandu wala wakukorere ufi, upu upu wavone ifre...
6 Reactions
45 Replies
402 Views
Wandewa, faragha sio uwanja wa mapambano ya ngumi au mbio za mita mia! Ule ni mchezo wa bao la kete—unataka akili, subira, na kucheza kwa kunyata sana. Unalivaa futa utadhani unakamata mwizi wa...
2 Reactions
39 Replies
343 Views
Guys nipo mkoa fulani sasa mchana nilikula ugali nikaleta zile mbwembwe za Dar za sili usiku zaidi ya matunda tu, Sielewi nini kimetokea ila njaa inaniuma siwezi kulala na siwezi kutoka kutafuta...
15 Reactions
73 Replies
676 Views
Tokea asubuhi kuna kaubaridi fulani hivi . Mwanzo nilijua mambo ya ibada jumapili leo. Mchana hola. Jioni hola Au labda yanga day ? Lakini inaweza kuwa watu wako aut a wenzi wao.
8 Reactions
58 Replies
340 Views
Baada ya kuambiwa alicheka sana alafu akatikisa kichwa, akasema mpelekee na Mama Janeth aangaliye. Mama Janeth kakaa nayo anacheka. Magufuli akasema hebu rudisha huku bwana, na ninyi wanawake...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kimara- DSM Uyole-Mbeya Ccm-Iringa mjini Kiboriloni-Moshi Himo-Moshi Nyegezi-Mwanza Manzese-DSM Tegeta-,Dsm Tabata-DSm Kwa mrombo-Arusha Matejoo-Arusha Majengo-Moshi Sanawari-Arusha Mabibo-Dsm...
2 Reactions
6 Replies
130 Views
Entasupa ntung'anak muj le JF kanyor nanu ndae oleng!
7 Reactions
53 Replies
437 Views
Chitchat ( jukwaa la JF Chit-Chats and Jokes) linajulikana kama jukwaa huru ndani ya mtandao wa JamiiForums ambapo wanachama hupumzika na kupiga soga zisizo rasmi. Tofauti na majukwaa ya siasa au...
14 Reactions
90 Replies
1K Views
Wamiliki wa baadhi ya baa za mji wa babati wamekuja na mtindo mpya. Huu unahusisha kuwawekea dawa za kienyeji wateja wanaowaona wana hela ili wawe wanywaji wa kudumu kwenye baa zao hali...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Story za kijiweni 😂 Jamaa akasema: “Nikipata bilioni 1, mimi sitahangaika tena maisha yangu yote. Nitakuwa natumia laki moja tu kwa siku.” Mmoja akamuuliza: “Unajua bilioni 1 itakutosha kwa muda...
9 Reactions
5 Replies
136 Views
STORY YA LEO: USIKATE TAMAA Kijana mmoja alikuwa anaomba kazi kila siku lakini hakupata. Watu walimcheka na kumwambia hana bahati. Badala ya kukata tamaa, aliendelea kujifunza, kufanya kazi ndogo...
6 Reactions
59 Replies
393 Views
10 Reactions
21 Replies
155 Views
https://www.facebook.com/reel/1601310021524839/
6 Reactions
30 Replies
393 Views
Tatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi? Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo Upeo wetu ni mdogo Hatujakamilika kuwa binadamu kamili Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu Tumekata tamaa...
20 Reactions
273 Replies
3K Views
Back
Top Bottom