Nani anapaswa kulipa bili siku ya kwanza ya kukutana (first date) na kwa nini?
Hapa ni kwa Tonny Kapola ama? 😳
Tukikutana kwenye darasa letu nitalipa mimiUsitarajie pesa ya mwanamke kutumika hata kama huo mtoko kapanga yeye! Akitumia hela yake ujue amekukopesha, utalipa tuu bila wewe kujua! 😊
Mwanamke anapanga mtoko kwa "imagination", akijua tuu utamudu.
Tukikutana kwenye darasa letu nitalipa mimi
Kwani date hadi mkae mahala pa kuingizana gharama ?Nani anapaswa kulipa bili siku ya kwanza ya kukutana (first date) na kwa nini?
Aiseee sijui kwanini unaogopa hela ya mwanamkeHata hivyo siwezi kubali mwanamke alipe bills zangu. Sina hela natafuta sababu ya kutotokea, na huo mtoko hautakuwepo. Nimeumbwa hivyo yaani, sina hela nakausha, sababu kibao. 😊
Aiseee sijui kwanini unaogopa hela ya mwanamke
SafiiiiHela ya mwanamke ni ya kwake. 😊
Safiiii