JLW:Siri za Kudumu

JLW:Siri za Kudumu

Kupenda usipopendwa, and vice versa.
IMG-20260802-WA0000.jpg
 
Ni kitu gani kimoja ulichojifunza kwenye ndoa/mahusiano ambacho hukukijua ulipokuwa kijana?
Vingi mno , vingi sana .

Ila kimoja wapo ni kupoteza freedom yako wewe mwanaume mpaka kurudi kwenye ardhi.

Ndio maana mimi siku moja moja na chukua chumba na kaa peke yangu kutwa nzima ama usiku mzima .
 
Back
Top Bottom