Je kipaumbele chako kwenye ndoa ni tabia au sura? (Shape/mwonekano)?
Je kati ya sura na tabia ni kipi kinarekebishika?
Je utaoa mwenye tabia nzuri lakini shepu mbaya au utaoa mwenye sura nzuri...
Sijakosea jukwaa nimeona hizi pongezi nizitolee huku
Sasa ni rasmi maandiko yetu ndani ya JamiiForums yatatambuliwa chanzo chake ni JamiiForums Tanzania
Sasa unapoperuzi kwenye majukwaa na mada...
Nyie mliojipata acheni sifa za kijinga za kujiposti na misosi kwenye mitandao ya kijamii.
Hali ya maisha sasa hivi kwa wengi ni ngumu chakula ni shida halafu kwa maksudi mnaturingishia hiyo...
Leo nimeamka kichwa kiko ndwii kutokana na mvinyo wa wikiendi ulioanza ijumaa, nikasema ngoja niingie Google, niandike jina langu nione linatokea kwenye majukwaa yapi huko duniani.
Ile naingiza...
Mara nyingi humu JF nimeona wanaume ndio wanaoandika sana mada zinazohusu wanawake, na wakati mwingine inafika hatua unaona kama kuna complaints nyingi kuhusu wanawake.
Leo nataka kuuliza jambo...
Happy Birthday Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica 🎉🥳
Kwa niaba ya wana jamvii
Tuna kutakia afya njema, furaha, mafanikio na maisha yenye baraka tele
Thank you for your great contribution and for...
Seran una lolote la kutuambia? Its your day! Jiachie
Nawe mpenzi msomaji karibu ujumuike kwenye hili vibe!
NB: Hakuna kukerana hapa! Tupo kwa ajili ya chitchat na furaha yetu sote..
Don't cross...
Wakuu! Me mwenzenu nawachukulia ninyi kama ndugu zangu. Sasa nimeona niazishe uzi huu kwa ajili ya salamu na kujuliana hali. Ukiingia tu JF, unapita kwanza hapa. Kuna member mna marafiki humu, kwa...
Hii mada ni kuhusu ndugu zetu hapa JF ambapo hufikwa na majanga fulani kimaisha na kuona kila kitu ni kibaya
Hujihisi kutengwa, kutothaminiwa na hata kutopendwa.. Akichanganya na stress binafsi...
Cycles zako JF ni zipi?
Kumbuka ukikaa karibu na uaridi(waridi) utanukia.. Lakini pia ndege wafananao huruka pamoja
Una team na nani?
JF Elites?
Wambea?
Wazee wa connection
Ma bazazi?😀
Wala bata...
Hakuna mtu mwenye pesa zake, elimu yake au resources zake atakubali kuoa mke au kuolewa na mume mwenye sura mbaya.
Siku hizi wasomi wapo kila kaya, ili utoboe kupata kazi ya maana lazima...