Kwa babu Loliondo kuna vituko sana.
Chek bob mmoja (mijini ni maarufu kama Sharobaro), akiwa kavalia mlegezo na miwani mikubwa yenye giza, alifika kwa Babu akiwa anasumbuliwa na presha. Ilipofika...
Jamaa alikuwa na matatizo mengi akaona hana pa kutokea isipokuwa kujitoa maisha. Akapanda ghorofa ya kumi ili ajitupe. Akiwa anachungulia chini, akamwona mtu hana mkono hata anatabasamu, meno nje...
Padre kauliza Waumini,
PADRE: Ni kiungo gani cha mwili hupatikana katika sehemu iliyofichama,
kina wingi wa unyevunyevu, kinaweza kufanya ndoa iwe imara sana au kuyumba?
WAUMINI: Kimya huku...
Kichaa alikuwa amevaa miwani jicho likawa linamuwasha. Alipokuwa akijikuna akawa anakuna juu ya miwani ndipo dada mmoja akamuambia si uvue hiyo miwani ndio ujikune? Yule kichaa akamuambia "Hebu...
Jamaa watatu walienda guest.Walipouliza bei ya chumba,waliambiwa ni sh.30000 kwa chumba kimoja.Wakaamua kuchanga kila mmoja sh.10000 wakamkabidhi mmiliki wa guest.Mmiliki wa guest alipofika ndani...
Nashanga sana kwamba viongozi wetu wa siri kali asimilia 95 hapa TZ hwamjui Gaddafi. Wanajuwatu kuwa ni raisi wa Libya ila hawamfahamu alivyo. Nashangaa wanapo sema hao western countries wasi...
Kuna mzee mmoja alikuta kundi kubwa la ndege,akalisalimia kwa kusema,shikamooni ndege mia,ndege walipaza sauti wakisema sisi sio ndege mia,bali waje kama sisi,waje nusu yetu,waje pia robo yetu na...
kuna mzee mmoja alikuwa basha lami[mombasa]nzimaa,yani hakunaa kijana ambaye hakuwai kumchokoraa...siku mojaa alimwambia mwanae[mwanangu hapaa kijijini kwetu hakuna kijana ambaye sija...
Wapendwa,
Kama nilivyowaahidi ndio namaliza mazungumzo na rafiki yangu kutoka Eritrea kuhusu "babu" wa huko kwao na shughuli zake. Kimsingi hatofautiani sana na babu wetu huyu wa TZ. Mambo...
Wakuu hii nimeikuta kwenye Blog moja ya Kitanzania Afade Sele akionesha hisia zake juu ya ujanja ujanja wa Mheshimiwa Rais wetu JK. Kwa maelezo yake anaona kuwa JK anakusudia kuleta tofauti...
Zuzu ana ndoto za kumuomba Gadafi aje agombee uraisi mwaka 2015.
Hadi leo ni miaka takriban hamsini uchumi umedorora, walala hoi wamekata tamaa.
Gadafi katawala Libya miaka 32, kageuza jangwa...
haya wanachadema mnataka kutupeleka wapi sasa kwani Mbunge wa wawi Mh Hamad Rashid amesema kuwa nanukuu Napenda kuthibitisha kauli yangu kuwa wenzetu CHADEMA wana siri nzito na usalama wa Taifa...
A woman and her lover are in the house while the husband is at work. Her nine year old son comes in, and after seeing them making love he hides in the wardrobe and watches them. All of a sudden...
Baada ya watu kuleta fujo kugombea KIKOMBE, Babu aliamua kuwapanga kwa mistari. Msitari wa kwanza wenye kansa, walikuwa wachache. Mstari pili walipangwa wa kisukari, wakawa wengi. Mstari wa tatu...
A couple were married and, following the wedding, the husband laid down some rules. "I'll be home when I want, if I want, and at what time I want," he insisted. "And, I don't expect any hassle...