I miss Rev Masanillo

I miss Rev Masanillo

NATA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2007
Posts
4,492
Reaction score
1,314
Jamani nimemiss sana Rev, hakuna msamaha wa MODs?
 
Hivi kwani, bado hajatoka?
Dah, wafungueni bwana, na Maxshimba!!!
 
Hivi kwani, bado hajatoka?
Dah, wafungueni bwana, na Maxshimba!!!

Hawa watu Rev Fr Masanillo na MaxShimba, I miss them jamani
Hata serikali huwa inatoa masamaha, wakuu
 
Nimemmiss pia Rev!!Wamfungulie haraka bhana aje awatie adabu hawa Uvccm waliovamia Jamvi.
 
huyu reverend nasikia kafunga kwaresma. atarudi baada ya kwaresma
 
Au ametoka ban akaamua kwenda kwa babu kujifua, aka: kuongeza nguvu (kama bwana Lyatonga)??
 
Rev Masanilo mbona tuko nae hapa kila siku? walichoban ni lile jina tu, lakini sio fikra zake. nisichojuwa tu lile jina lake limepigwa ban ya muda gani? anaejuwa atujuze.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom