Makalio yananiwasha

Makalio yananiwasha

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
3,811
Reaction score
1,607
Jamaa alikuwa na matatizo mengi akaona hana pa kutokea isipokuwa kujitoa maisha. Akapanda ghorofa ya kumi ili ajitupe. Akiwa anachungulia chini, akamwona mtu hana mkono hata anatabasamu, meno nje. Lile lilimpa moyo na kuona lake sio kubwa kuliko yule jamaa, pamoja na kukosa mikono alikuwa na furaha.

Aliteremka haraka haraka. Alipomfikia akamwuliza, "kipi kinachokufanya utabasamu licha ya hali yako?

Wala usifikiri ninatabasamu, ninavumilia maumvu, hapa nilipo ****** yananiwasha, kujikuna siwezi - yule jamaa akajibu
 
maskini,sasa alimsaidiaje na kuwashwa huko?:A S 13:
 
basi kwa vile kapata wa kumwambia, natumai kamsaidia shida yake kama si mchoyo
 
ukifikiria una matatizo,kuna mwingine ana mishida zaidi yako,lets help those who need help
 
jinsi zao mwashwaji na mkunaji ukicheza mvua 30 lupango zinakuhusu siasa unajua sheria ya ubakaji haijakaa sawa
 
Eeeeeenh ! Dawa ya moto ni moto fanya hima kajipake upupu na utapiga zeze vizuri. :violin:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom