Wagonjwa wa UKIMWI kwa Babu

Wagonjwa wa UKIMWI kwa Babu

Mawenzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,251
Reaction score
347
Baada ya watu kuleta fujo kugombea KIKOMBE, Babu aliamua kuwapanga kwa mistari. Msitari wa kwanza wenye kansa, walikuwa wachache. Mstari pili walipangwa wa kisukari, wakawa wengi. Mstari wa tatu akasema wajipange wenye Ukimwi, ukakosa watu kabisa. BABU akamwambia msaidizi wakeamwage ile dawa ya kutibu ukimwi. Watu wakapiga kelele sana wakasema: USIIMWAGEEEE, NA HIYO TUTAKUNYWA HIVYO HIVYOOOOOOOOO!!!!!!!!! LOL
 
Hahahaaaaaa you make my day mkuu na kasenksi nimekugongea.
 
Dah!! hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa..................!!!!!!!!!!!!!!!
sasa hadi mtu ushafika hadi kwa Babu nini unaficha sasa aisee?:busu
 
Back
Top Bottom