Nickbob
Member
- Mar 24, 2011
- 73
- 12
Nashanga sana kwamba viongozi wetu wa siri kali asimilia 95 hapa TZ hwamjui Gaddafi. Wanajuwatu kuwa ni raisi wa Libya ila hawamfahamu alivyo. Nashangaa wanapo sema hao western countries wasi ingilie kutatua the unrest iliyopo libya eti wawaache wenyewe watutue, kwa kasi hii yamauwaji anayoifanya jamaa gadafi. Inakuja??? Hamumjui huyu ninyii!!!
Obama piga kiserati!!!
Obama piga kiserati!!!